Kujichukua sheria mkononi

Inamake sense
 
Umenimotivate sana kwa hili, asante sana
 
Yani umekaa mwezi mmoja tu tayari umeanza kujipa na pongezi?

Yani hiyo kwenye soka ni sawa na mchezaji mwenye kadi ya njano afunge goli dakika ya 15 halafu ashangilie kwa kuvua shati
[emoji16][emoji16]
 
Kama unataka kuacha nyeto fanya meditation [emoji3286] kwa mda wamiezi sita asubuh na jion , utajifunza namna ya kuyaongoza mawazo na hisia zako , ukija kupiga tena utakua umeamua tu na sio kupelekeshwa na wazo la nyeto.
 
Kwa walio teseka na hii Hali na kutamani kuacha lakini wakashindwa basi tiba imepatikana[emoji419][emoji818][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mwezi wa 2 natumai
 
Kama unataka kuacha nyeto fanya meditation [emoji3286] kwa mda wamiezi sita asubuh na jion , utajifunza namna ya kuyaongoza mawazo na hisia zako , ukija kupiga tena utakua umeamua tu na sio kupelekeshwa na wazo la nyeto.
Samahani Mkuu nifundishe jinsi ya Kufanya Meditation nakuomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…