Kujichukua sheria mkononi

Kujichukua sheria mkononi

Kufanya mapenzi ni kama unapiga mswaki na mkono wa kushoto, ndio meno yata takata lakini huta enjoy kwa sababu ni mkono mzito huwez kufanya maneuver kwa usahihi.... na kupiga puchu ni kama unampiga mswaki na mkono wa kulia, mkono mwepesi, unajipimia unavotaka, unajua ntumie nguvu kiasi gani, maneuver yanafanyika kirahisi...kifupi you're in control[emoji28][emoji28][emoji28]
Does that makes sense?[emoji1787]
Inamake sense
 
Tatizo lenu wengi hua mnaiangalia nyeto kwa upande wa madhara tu, hua hamuangalii faida zake.

Ntawapa ushuhuda:
Sisi tulianza nyeto tukiwa o-level miaka ya 90. Kipindi kile wote tulikua tunajuana wapiga nyeto na tulikua tunataniana na kucheka. Ambao walikua hawapigi walikua wanatutania sana na kutuona sisi malofa.

Fast forward miaka 30 mbele:
Wale waliokua hawapigi nyeto, wakawa wanajidai vibolo dinda, marijali, ma player nk wengi wao tulishawazika zamani! Wengi walikanyaga miwaya mapema tu na walishatangulia mbele za haki.

Sasa ukinilinganisha mimi mpiga nyeto, ambae mpaka leo niko hapa, nna maisha yangu, nna familia, na bado siku moja moja navurumisha! Sijawahi kupata STD katika maisha yangu, sijawahi kufumaniwa, sina watoto nje ya ndoa.. kifupi sina tatizo lolote!
Umenimotivate sana kwa hili, asante sana
 
Yani umekaa mwezi mmoja tu tayari umeanza kujipa na pongezi?

Yani hiyo kwenye soka ni sawa na mchezaji mwenye kadi ya njano afunge goli dakika ya 15 halafu ashangilie kwa kuvua shati
[emoji16][emoji16]
 
Kama unataka kuacha nyeto fanya meditation [emoji3286] kwa mda wamiezi sita asubuh na jion , utajifunza namna ya kuyaongoza mawazo na hisia zako , ukija kupiga tena utakua umeamua tu na sio kupelekeshwa na wazo la nyeto.
 
Wakuu Salaam?

Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi.

Njia niliyoitumia ni baada ya kusoma Uzi wa ndugu Mshana Jr kuwa ukiogea chumvi ya mawe kwa siku Saba mfululizo roho ya chafu ya kujichukulia sheria mkononi inapotea.

Nilifata maelezo yote ya ule Uzi now Niko hapa kutoa ushuhuda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwa walio teseka na hii Hali na kutamani kuacha lakini wakashindwa basi tiba imepatikana.

Ashukuriwe ndugu Mshana kwa kutusanua.

Nawasilisha.
Kwa walio teseka na hii Hali na kutamani kuacha lakini wakashindwa basi tiba imepatikana[emoji419][emoji818][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifata maelezo yote ya ule Uzi now Niko hapa kutoa ushuhuda😂😂😂😂.

Kwa walio teseka na hii Hali na kutamani kuacha lakini wakashindwa basi tiba imepatikana.

Ashukuriwe ndugu Mshana kwa kutusanua.

Nawasilisha.
Huu ni mwezi wa 2 natumai
 
Kama unataka kuacha nyeto fanya meditation [emoji3286] kwa mda wamiezi sita asubuh na jion , utajifunza namna ya kuyaongoza mawazo na hisia zako , ukija kupiga tena utakua umeamua tu na sio kupelekeshwa na wazo la nyeto.
Samahani Mkuu nifundishe jinsi ya Kufanya Meditation nakuomba
 
Back
Top Bottom