Kujichukua sheria mkononi

Kujichukua sheria mkononi

Kufanya mapenzi ni kama unapiga mswaki na mkono wa kushoto, ndio meno yata takata lakini huta enjoy kwa sababu ni mkono mzito huwez kufanya maneuver kwa usahihi.... na kupiga puchu ni kama unampiga mswaki na mkono wa kulia, mkono mwepesi, unajipimia unavotaka, unajua ntumie nguvu kiasi gani, maneuver yanafanyika kirahisi...kifupi you're in control😅😅😅
Does that makes sense?🤣
 
Wakuu Salaam?
Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi.

Njia niliyoitumia ni baada ya kusoma Uzi wa ndugu Mshana Jr kuwa ukiogea chumvi ya mawe kwa siku Saba mfululizo roho ya chafu ya kujichukulia sheria mkononi inapotea.

Nilifata maelezo yote ya ule Uzi now Niko hapa kutoa ushuhuda😂😂😂😂.

Kwa walio teseka na hii Hali na kutamani kuacha lakini wakashindwa basi tiba imepatikana.

Ashukuriwe ndugu Mshana kwa kutusanua.
Nawasilisha.
Inawezakana kabisa kuacha kupiga nyeto mkuu.. Ila kuna step zake ambazo zinaweza kukufanya ukaacha mazima .. Na kubwa hasa ni kufuta memory ambayo ipo kwenye
subconscious mind inayo husiana na vichocheo vya wewe kupiga nyeto kama picha chafu na aina flani ya watu na maumbile.. hii kwenye ku renew mind huchukua mda, ila kadri unavyo renew chukua taadhari kwa kukaa mbali na kila aina ya kichocheo mzee kinachoweza kukuingiza huko.. kufukuza roho nyeto jambo moja kuiweka akili sawa ni jambo la pili
 
Pucbu ni mke wandoa.😀

Kuachana naye ni mpaka kifo kiwatenganishe.🤣

Acha kuudanganya mkono wako kwamba umeacha hiyo kitu.🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Inawezakana kabisa kuacha kupiga nyeto mkuu.. Ila kuna step zake ambazo zinaweza kukufanya ukaacha mazima .. Na kubwa hasa ni kufuta memory ambayo ipo kwenye
subconscious mind inayo husiana na vichocheo vya wewe kupiga nyeto kama picha chafu na aina flani ya watu na maumbile.. hii kwenye ku renew mind huchukua mda, ila kadri unavyo renew chukua taadhari kwa kukaa mbali na kila aina ya kichocheo mzee kinachoweza kukuingiza huko.. kufukuza roho nyeto jambo moja kuiweka akili sawa ni jambo la pili
Mkuu nimejaribu hii kitu Cha kwanza nilifuta Telegram kwenye sim yangu nikaleft magroup yote ya porno ya whatsup Lakini roho ilikuwa ikija tu nazama Twitter natafta zile page zinazopost porno ubaya nakuwa nazikumbuka. Najikuta tena nimerdi kundini.😌😌😌
 
Nyeto haiachiki.. never ever. Utapumzika tu na ukirudi sasa ubaya wake.. unarudi na KASI ya 5G.
 
Mkuu nimejaribu hii kitu Cha kwanza nilifuta Telegram kwenye sim yangu nikaleft magroup yote ya porno ya whatsup Lakini roho ilikuwa ikija tu nazama Twitter natafta zile page zinazopost porno ubaya nakuwa nazikumbuka. Najikuta tena nimerdi kundini.😌😌😌
Na unadownload na VPN just incase
 
Back
Top Bottom