Tatizo lenu wengi hua mnaiangalia nyeto kwa upande wa madhara tu, hua hamuangalii faida zake.
Ntawapa ushuhuda:
Sisi tulianza nyeto tukiwa o-level miaka ya 90. Kipindi kile wote tulikua tunajuana wapiga nyeto na tulikua tunataniana na kucheka. Ambao walikua hawapigi walikua wanatutania sana na kutuona sisi malofa.
Fast forward miaka 30 mbele:
Wale waliokua hawapigi nyeto, wakawa wanajidai vibolo dinda, marijali, ma player nk wengi wao tulishawazika zamani! Wengi walikanyaga miwaya mapema tu na walishatangulia mbele za haki.
Sasa ukinilinganisha mimi mpiga nyeto, ambae mpaka leo niko hapa, nna maisha yangu, nna familia, na bado siku moja moja navurumisha! Sijawahi kupata STD katika maisha yangu, sijawahi kufumaniwa, sina watoto nje ya ndoa.. kifupi sina tatizo lolote!