Pre GE2025 Kujificha nyuma ya hoja ya kutokuhudhuria kwa Katibu Mkuu wa CCM: Upinzani wamekosa Sera madhubuti

Pre GE2025 Kujificha nyuma ya hoja ya kutokuhudhuria kwa Katibu Mkuu wa CCM: Upinzani wamekosa Sera madhubuti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiki ulichoandika hapa ni alinacha za Bulicheka.
Waliopo CCM wote ni wenye elimu na matajiri.
Nitajie maprof, wenye PhD, masters au bachelor waliopo CDM linganisha idadi na waliopo CCM.

Linganisha waliosoma sana elimu za DINI waliopo CDM, idadi hiyo linganisha na waliopo CCM.

Linganisha idadi ya matajiri waliopo CCM na idadi hiyo linganisha waliopo CDM.

Ratio inawezakuwa 1:7,000,000
 
CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo*

_Tumeona nchi Kama Marekani viongozi wa vya vya siasa wanatumia midahalo Kama hiyo kunadi sera za vyama vyao kwa wananchi ili kujiimarisha kisiasa na si VINGINEVYO

_👉Hao makatibu wakuu walio hudhuria walishindwa nini kunadi sera zao kwani kama wa CCM angewasaidia kunadi sera za vyama vyao?

HOJA ZA MDAHALO

{1}Kuelekea uchaguzi mkuu 2025-hii hoja IPO sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa

{2} Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa-hii hoja pia ni sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa

{3}HALI YA USALAMA WA TAIFA LETU -hoja hii siyo sawa kujadiliwa na vyama vya siasa pekee kwani hapa nchini kuna vyombo vya ulinzi na usalama ndio vingepewa hoja hii kulifafanulia taifa hali ya usalama kwenye taifa letu hapo Ingekuwa sawa kabisa kwani watanzania wangepata full package kuhusu usalama wao

ODEMBA -Angejiridhisha kwanza sababu zilizofanya katibu mkuu wa CCM kutokuhudhuria mdahalo huo,,,kwani MNAONA kabisa CCM inaendelea na vikao huko Dar,,,Kama 31/08/2024 kikao Cha sekretarieti ambapo kama CCM ni mhusika mkuu kwenye hicho kikao.

Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

NIWAMBIE TU HAKUNA MDAHALO AMBAO CCM YAWEZA UOGOPA HAPA NCHINI AU NJE YA NCHI
"The proof of the pudding is in the eating" - au "When theory does not match the practice, ignore the theory".
 
Katibu mkuu ccm mweupe kichwani, kakimbia mdahalo
 
Nipo kitambo sana JF SEMA nimebadili ID, nimeanza kutumia JF kuanzia 2008, sijui ulikuwa wapi kipindi hicho, waliokuwepo humu ninaowakumbuka ni miss Chaga, mshana junior na wengine wengi.any way usinitoe kwenye njia JF haionyeshi elimu ya mtu, labda ukiamua kujionyesha, pia kwa uwezo wako huwezi ifikia elimu yangu na tulipo CCM.

Jiulize CDM ina ma prof wangapi ulinganishe na CCM, wenye PhD, masters na hata bachelor.

Tuanze kufananisha elimu ya mnyika na nchimbi nadhani utanielewa.

..hata Tanu vs Muingereza ilikuwa hivyohivyo.

..jambo la msingi ni kama mhusika yuko upande wenye nia njema na nchi, na unaotetea haki za wananchi.

..kama ni PhD hata Dr.Tulia Ackson anayo, lakini fuatilia anavyokingia kifua uovu wa watekaji.
 
Back
Top Bottom