Pre GE2025 Kujificha nyuma ya hoja ya kutokuhudhuria kwa Katibu Mkuu wa CCM: Upinzani wamekosa Sera madhubuti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiki ulichoandika hapa ni alinacha za Bulicheka.
Waliopo CCM wote ni wenye elimu na matajiri.
Nitajie maprof, wenye PhD, masters au bachelor waliopo CDM linganisha idadi na waliopo CCM.

Linganisha waliosoma sana elimu za DINI waliopo CDM, idadi hiyo linganisha na waliopo CCM.

Linganisha idadi ya matajiri waliopo CCM na idadi hiyo linganisha waliopo CDM.

Ratio inawezakuwa 1:7,000,000
 
"The proof of the pudding is in the eating" - au "When theory does not match the practice, ignore the theory".
 
Katibu mkuu ccm mweupe kichwani, kakimbia mdahalo
 

..hata Tanu vs Muingereza ilikuwa hivyohivyo.

..jambo la msingi ni kama mhusika yuko upande wenye nia njema na nchi, na unaotetea haki za wananchi.

..kama ni PhD hata Dr.Tulia Ackson anayo, lakini fuatilia anavyokingia kifua uovu wa watekaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…