princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Habari jf doctors
---Najiskia mwili kuchoka sana kiasi sijiskii kufanya kitu chochote
---vichomi vichomi baadhi ya maeneo tumboni
---kooni kama kuna donge fulani limeziba kiasi nikila najiskia kuchefukwa
---kutokana na uchovu najiskia kulala muda mwingi
---mdomo mchungu
Wakuu wangu mnaweza kuwa na idea nasumbuliwa na nini ili nikapime? Kwamaana hizi dispensary zetu wanaweza kunipima hata vitu visivyohusiana
Sent using Jamii Forums mobile app