Kujihisi Uchovu muda mwingi

Kujihisi Uchovu muda mwingi

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
9,245
Reaction score
18,347
Habari jf doctors
---Najiskia mwili kuchoka sana kiasi sijiskii kufanya kitu chochote
---vichomi vichomi baadhi ya maeneo tumboni
---kooni kama kuna donge fulani limeziba kiasi nikila najiskia kuchefukwa
---kutokana na uchovu najiskia kulala muda mwingi
---mdomo mchungu

Wakuu wangu mnaweza kuwa na idea nasumbuliwa na nini ili nikapime? Kwamaana hizi dispensary zetu wanaweza kunipima hata vitu visivyohusiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni dalili tu za ugonjwa fulani lakini kujua ugonjwa lazima ukamuone Daktari akuchukue maelezo na vipimo kisha ndo ijulikane tatizo ni nini!
Kuumwa kooni na kuchefukwa wala haiwezi kuwa tatizo la ugonjwa wa kisukari!

Nakushauri ukamuone Daktari mapema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hata malaria mkuu kacheki tu na usiwe na wasiwasi na kuhisi mengine kama sukari (japo inawezekana wanasema magonjwa tumeumbiwa binaadam) ila kama sukari ni kubadili kabisa lifestyle mkuu, pole

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Una ujauzito dalili zako ndio kama zangu mdomo mchungu usiku hakuna kulala ni mwendo wa kukojoa tu nakula vizuri lakini hakikai chote nakitapika mpaka nilipopima ndio nikajigundua kapime yawezekana umenasa
 
Habari jf doctors
---Najiskia mwili kuchoka sana kiasi sijiskii kufanya kitu chochote
---vichomi vichomi baadhi ya maeneo tumboni
---kooni kama kuna donge fulani limeziba kiasi nikila najiskia kuchefukwa
---kutokana na uchovu najiskia kulala muda mwingi
---mdomo mchungu

Wakuu wangu mnaweza kuwa na idea nasumbuliwa na nini ili nikapime? Kwamaana hizi dispensary zetu wanaweza kunipima hata vitu visivyohusiana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mama kijacho
 
Back
Top Bottom