princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Punguza kula vyakula vya wanga. Pima kisukari pia endapo unakojoa mara kwa mara!
Kwenye hizi dispendary zetu wanapima?Pima kiwango cha sukari mwilini.
(Mimi sio mtaalamu wa afya,nimeshauri tu)
Inawezekana. Jaribu kutokula vyakula vya wanga kwa siku tatu mfululizo uone kama utajihisi tofauti.Vyakula wanga nakula mara nyingi kulingana na jamii zetu mitaani
Nikinywa maji nakojoa mara kwa mara
Ina maana mkuu nmeshapata kisukari[emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana. Jaribu kutokula vyakula vya wanga kwa siku tatu mfululizo uone kama utajihisi tofauti.
Yeah...Kwenye hizi dispendary zetu wanapima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio niko mbioni kwenda.Hizo ni dalili tu za ugonjwa fulani lakini kujua ugonjwa lazima ukamuone Daktari akuchukue maelezo na vipimo kisha ndo ijulikane tatizo ni nini!
Kuumwa kooni na kuchefukwa wala haiwezi kuwa tatizo la ugonjwa wa kisukari!
Nakushauri ukamuone Daktari mapema!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah...
Pia vipimo vyake vinauzwa,unaweza hata kujipima mwenyewe..!
Labda hata malaria mkuu kacheki tu na usiwe na wasiwasi na kuhisi mengine kama sukari (japo inawezekana wanasema magonjwa tumeumbiwa binaadam) ila kama sukari ni kubadili kabisa lifestyle mkuu, pole
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongera mama kijachoHabari jf doctors
---Najiskia mwili kuchoka sana kiasi sijiskii kufanya kitu chochote
---vichomi vichomi baadhi ya maeneo tumboni
---kooni kama kuna donge fulani limeziba kiasi nikila najiskia kuchefukwa
---kutokana na uchovu najiskia kulala muda mwingi
---mdomo mchungu
Wakuu wangu mnaweza kuwa na idea nasumbuliwa na nini ili nikapime? Kwamaana hizi dispensary zetu wanaweza kunipima hata vitu visivyohusiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Una ujauzito dalili zako ndio kama zangu mdomo mchungu usiku hakuna kulala ni mwendo wa kukojoa tu nakula vizuri lakini hakikai chote nakitapika mpaka nilipopima ndio nikajigundua kapime yawezekana umenasa
Hahaha jamani ombi lako liwe kheir Isha AllahHongera mama kijacho
Sina mkuu sijui nipime tena?
Hahaha afu nilipima nikaambiwa sina mimba