Kujihisi Uchovu muda mwingi

Baada ya kupima hatua ya hospitali ya juu zaidi ni ya muhimu sana Usiridhike na hospitali ya Mtaa tu
 
Huo ni udhaifu wako! ila mm cyo CAG
 
Si gharama Za kutisha lakini angalau uwe Na kipato kuonana na doctor 20000/=
 
Inawezekana umefanikiwa kupata mimba au umefululiza mapenzi mwili ukawa umepoteza energy nyingi.

Kama hayo yote hayakuhusu kapime huenda una homa inakunyemelea,,,, vipimo vikiona huna tatizo, ndugu yangu nakushauri uache punyeto
 
Si gharama Za kutisha lakini angalau uwe Na kipato kuonana na doctor 20000/=
Mkuu hio ela sina ndo tutakufaga na matatizo yetu
Mana ata hao ndugu ukifa ndo wanakwambia si tungemchangia angesema ila hivi hivi unateketea
Mana hio 20k sijaenda Lab bado
Sijaambiwa dawa

(Si afadhali waninyonge basi[emoji2])

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana umefanikiwa kupata mimba au umefululiza mapenzi mwili ukawa umepoteza energy nyingi.

Kama hayo yote hayakuhusu kapime huenda una homa inakunyemelea,,,, vipimo vikiona huna tatizo, ndugu yangu nakushauri uache punyeto
Mkuu suggestion zako zote sina mkuu
Nmepima majibu nmeandika hapo.ila dijaridhika
Maana ile hali imeisha ya kuchoka vimebaki vichomi upande wa kushoto wa kiuno na mgongoni na nmepata hedhi kidogo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu suggestion zako zote sina mkuu
Nmepima majibu nmeandika hapo.ila dijaridhika
Maana ile hali imeisha ya kuchoka vimebaki vichomi upande wa kushoto wa kiuno na mgongoni na nmepata hedhi kidogo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nakushauri uwe unakunywa maji mengi, matunda na mbogamboga huku ukipunguza vyakula vya wanga kwa siku kadhaa
 
Mi pia ndo nawaza hapa au maji nayo mana watu wengi tukinywa lita moja tunauchuna
Vyakula vya wanga ndo vyakula vyetu tusiowexa kubadili milo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia gharama ubadili kwa siku kadhaa kwaajili ya afya yako mkuu.
Pia maji ni muhimu sana tena unatakiwa unywe maji mpaka uhakikishe mkojo wako umekuwa mweupe/yaani ukiona unakojoa mkojo wenye rangi ujue ni taarifa kwamba hujanywa maji ya kutosha
 
Menu ya kutwa mara3 iweje mkuu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mimi uchovu wa namna hii, nabadili chakula cha mchana nakula matunda au kachumbari ya uhakika alafu napiga mazoezi asubuhi na saa nyingine jioni

Simalizi hata siku 2 nakuwa fiti.
Ila pia msongo wa mawazo husababisha uchovu usio wa kawaida,,, pengine una jambo linalokuumiza akili au unywaji wa pombe kupita kiasi huleta matokeo ya namna hii.

Badili mlo wako mmoja kwa siku uwe ni matunda au ukatekate nyanya, vitunguu, matango, karoti, na pilipili kama unatumia alafu kamulia limao uchanganye vizuri ule. Mchanganyiko huu utakufanya upate na hamu ya kula kama ulikuwa huna hamu ya kula.

Kubwa kuliko yote usikubali akili yako kuwa na stress! Ibebeshe akili yako mambo inayoweza sio yale isiyoweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…