Kujiona huna thamani kipindi huna mkwanja

Ina leta stress sana inapelekea hata kupata mawazo kujiua kama ni hali umekuwa nayo mda mrefu.ila me naamin ni somo unapewa na Mungu before ajakubariki..
Ni kweli au tuseme Mungu anatufundisha ili tukija kuzishika tukumbuke ni nani alikuwa na sisi kipindi hiki kigumu au ni vipi tuweze kutengeza budget kwenye matumizi yetu maana kuna wengine wanakuwa na pesa but kwenye matumizi wako vibaya
 
Sema mi huwa najikubaligi tu, niwe nacho au sina. Its never my problem but perception yako ndio itakutesa. 😀
Kabisa perception is everything.watu wengi wanajilinganisha ndomaan wanajofeel iyo hali.
 
Mm sina hela hapa ila confidence ni 100% na hakuna anayejua sina hela wanadhani naigiza tu..!
 
Ni kweli au tuseme Mungu anatufundisha ili tukija kuzishika tukumbuke ni nani alikuwa na sisi kipindi hiki kigumu au ni vipi tuweze kutengeza budget kwenye matumizi yetu maana kuna wengine wanakuwa na pesa but kwenye matumizi wako vibaya
Hayo yote uliosema ni mafundisho tubayopata na vizur uyaelewe na uyashike vizuri pale hali ikiwa nzuri..
 
Mm sina hela hapa ila confidence ni 100% na hakuna anayejua sina hela wanadhani naigiza tu..!
Unaweza kuigiza ila deep down my friend inakuathiri cause your not just lying at them but yourself too..point hapa sio kila mtu ajue huna kitu but uelewe tu kwamba its normal you don’t have to pretend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…