Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UbarikiweMarafiki zake kabisa.....mtu huna utani naye anaanza kukurushia viutani na kukuchombeza.
....hata kama kudanga nisitoa kwa mtu yeyote aliye rafiki wa mume wangu.Nashukuru nilitunza kiapocha ndoa kwa uwezo wa MUNGU
Ni kweli hii situation huwa inazingua sana lakini as time as goes utaanza kujitambua na kuchukua hatua na kuanza kukabiliana na hiyo hali.trust me,yani ukijiangalia kwenye kioo unajiona umepauka,umechoka hata kutoka nje unahisi watu watakuzungumza au kukucheka
Thats also a problem to some men. Sio kila mtu muongo& what about you men, going around and lie everything you own and pretending to be someone else!you are the one who created this demons.Alafu baadae mnakuja kutulaumu sisi .
Huwezi kuwa na bundle na simu ukaingia jf ikiwa huna hela ya ku surviveMkuu acha utani kila mtu ana hela za kusurvive watu wanataka izo za kusurvive lakin hana..
Sio easy ila im just being real. Me na wewe tuko humu sababu tuna hela ya ku surviveanachukulia life ni easy,sio kila mtu ako na uwezo huo
Hivi huku kujiona huna thamani kipindi huna hela husababishwa na nini? Au kuona aibu yani kama vile huko nje watu watakuwa wanajua huna kitu, au ile hali ya kujiangalia kwenye kioo uone unatisha umepauka, unajiona uko uko tu.
Kutokuwa na hela kunatia unyonge sana.
Una ndio mdudu gani? Mnakera sana. Sema "huna".Sijasema ww.ila kwanza shukuru Mungu hela unayo ila haitoshi hapo ww nikujibana tu nunua vitu vya muhimu tu .Je vuta picha kwa jobless??umemlza chuo una kaz una mtaji umri unaenda[emoji2955]
Barikiwa. Kaza hivyo hivyo. Usitoe kwa yeyote zaidi ya mumeo. Nafsi itakusuta maisha yako yote.Marafiki zake kabisa.....mtu huna utani naye anaanza kukurushia viutani na kukuchombeza.
....hata kama kudanga nisitoa kwa mtu yeyote aliye rafiki wa mume wangu.Nashukuru nilitunza kiapocha ndoa kwa uwezo wa MUNGU