DOKEZO Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini nchini Msumbiji na kuiacha Tanzania na Rwanda dhidi ya kundi la kigaidi la Ansar al-Sunna kuna maana gani?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuutenganisha uislamu na ugaidi ni sawa na kutajrib kutenganisa moyo na damu,

Kwahiyo waislamu safi wakoradhi kutumiwa na makafiri kuuana na kuumiza watu wengine?na kuendela kuuchafua uislam
Tuoneshe kikundi kimoja cha ugaidi cha Waislqm ambacho hakijaanzishwa na Wamghsribinkwa kusingizia tunkuwa cha =Kiislam.


Mmeaminishwa sana uongo kwa ujinga wenu.
 
Na uzalendo hawana
Kilichopo ni ukizingua wanakuua kwaiyo kuna mambo watu hawafanyi kwasababu wanaogopa kufa!!
So kumbe mamlaka inatumia power badala ya authority kuendesha mambo yake, watakuja kumsaliti hadi ashangae.

Kimsingi kale ka nchi hakana uwezo wowote wa kupambana na tz, ni vile tu watu wanakapamba.
 
So kumbe mamlaka inatumia power badala ya authority kuendesha mambo yake, watakuja kumsaliti hadi ashangae.

Kimsingi kale ka nchi hakana uwezo wowote wa kupambana na tz, ni vile tu watu wanakapamba.
Ndio mkuu,,,,
Kule nyundo ndio inatumika kuua mende
 
Sawa mkuu, ila unafikiri tz inakwama wapi hasa hadi itishiwe na ka nchi kachanga kama hako.
Kale kaanchi kanapewa silaha kufanyia maasi nchi za africa!!

Marais wa nchi za africa wanaelewa ndo maana kakijitapa wanakaangalia tu
 
Rwanda wameongeza wanajesha 2500 zaidi,kunakoenda msumbiji litakuwa koloni la Rwanda.
Mimi jicho langu limeshaona tayari msumbiji ni kolono la Rwanda. My grand Papa alikwenda kupigana MSUMBIJI nacwakabaki huku kutoa mafunzo. Alikuwa ni MKUU WA MAFUNZO (C.I) kwenye kambi mojawapo huko. Siku ya INTRODUCTION TO THE CAMP anasema wasumbiji 20 walikufa pale pale. Hiyo ni siku ya intro tuu. Haikupita mwezi akapewa order arudi TANZANIA.
BABU YANGU alikuwa jitu katili (RIP) mnoo lakini anasema wasumbiji ni mavivu kimwili na akili.
 
Sasa faiza kwaiyo hao ali shababu wanafundishwa kwa kutumia biblia
Kumbe haufahamu kuwa Al Shabab ni tawi la Al Qaeda? Al Qaeda haujuwi imeanzishwa na nani? Jionee wenyewe walioianzisha wanakiri hadharani:

Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo itakua vita ngumu sana na umoja wa mataifa hauwezi ruhusu!

Zanzibar tu inaishinda sembuse kuikalia nchi nyingine au kui annex
Kwanza Tanzania haina maslahi yoyote ya maana na Msumbiji kiuchumi zaidi ya suala la usalama tu.

Tanzania iwekeze nguvu zaidi DRC ambako nchi ina maslahi ya moja kwa moja kiuchumi.
 
Kale kaanchi kanapewa silaha kufanyia maasi nchi za africa!!

Marais wa nchi za africa wanaelewa ndo maana kakijitapa wanakaangalia tu
Hapo ndipo tatizo lilipo, umoja wa africa hakuna unachofanya.

Geographic location yake tu ilivyo hakawezi kufurukuta bila msaada wa majirani zake, nafikiri ukiachilia mbali huko anapopata support ila pia kuna shida kubwa ndani ya huo umoja wa africa
 
RENAMO na Kundi la Kigaidi la Answar ni vitu viwili tofauti.
 
Musa siyo mrefu utasikia wanajeshi wa Tanzania wameuwawa na magaidi kumbe Ni wanyarwanda ndio wako nyuma
Rwanda ndio ilikuwa nchi ya kwanza kwenda kule msumbiji kabla ya nchi yoyote ile. Nashangaa mnapoanza kuishambulia.
 
Africa ya Kusini wenyewe ni Answar Sunna, wakiwasapoti Hamas. Sasa unafikiri wanaweza pigana na waabudu shetani wenzao!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…