Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukilanja wake kwa dunia unaenda kufaKwa Trump kila pesa inayoenda nje ya US lazima ikaguliwe, na kama US haipati faida kwenye hilo, inakuwa stopped.
haya sasa mlikua nasema urusi mara china sasa mbona mna hahaHasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni wehu na wamarekani wasikibali ujinga huu.
American first ndio sera yake kuu, hizi ishu za umwamba tunashabikia sisi.Ukilanja wake kwa dunia unaenda kufa
Marekani kuna wehu wengi ndio maana wakamchagua mwehu mmoja wapo kuwa Rais wao.Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni wehu na wamarekani wasikibali ujinga huu.
Alafu Unakuta Ni Mjinga Mmoja tuu hana mbele wala NyumaAliyeandika ujumbe huu kuwa Trump hafai kuwa rais wa USA ni mwananchi wa Mwanjelwa - Mbeya 😂
Unaweza kukuta jamaa anashinda energy drinks Na vitumbua 😂Alafu Unakuta Ni Mjinga Mmoja tuu hana mbele wala Nyuma
Tena anasiku mbili hajalaAliyeandika ujumbe huu kuwa Trump hafai kuwa rais wa USA ni mwananchi wa Mwanjelwa - Mbeya 😂
WHO wamemwangukiaMwacheni apige spana, ni awamu yake nchi yake.
Inabidi uwe mvumilivu kwa miaka minne ijayo,unayemwita mpumbavu ameshinda amewekwa madarakani kihalali tena kwa ushindi wa kishindo,na hizo sera zake anazoziita "American first" ndizo zilizompaisha kuupata uraisi,hiyo inamaanisha kwamba wamarekani walowengi hasa wale wa kawaida wanawaza kama Trump.Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni wehu na wamarekani wasikibali ujinga huu.
Ila naona hata kwao anapingwa sanaAliyeandika ujumbe huu kuwa Trump hafai kuwa rais wa USA ni mwananchi wa Mwanjelwa - Mbeya 😂
ARV sio msaada wa Marekan kwel ? hv zile chanjo sio msaada wa Marekani kwel ? watu weusi huwa hawaoni mbali na wanahisi Trump mjinga ila maamuzi haya ya Trump yanaeza tupeleka kuwa makoloni ya ASIA au tukaingia kweny civil wars maana akina mama walikuwa wanakula kodi zetu wakijua misaada ya USA ipo , sasa tutaanza jua mbivu na mbichiHasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi mkubwa Wa kiteknolojia Leo anatokea mpumbavu mmoja kujiondoa kwenye shirika la Afya duniani. Huu ni wehu na wamarekani wasikibali ujinga huu.
KWA NINI ASICHANGIE YEYE KAMA ANA IGITAJI HIYO WHO AENDE CHINA BHASI AKACHUKUE HIYO PESASio Mwanjelwa Chief, Ni Kwa Mama John pale.