Kujiongezea mapato Serikali ianze kujenga Magereza ya kulipia kwaajili ya wafungwa wenye pesa zao

Kujiongezea mapato Serikali ianze kujenga Magereza ya kulipia kwaajili ya wafungwa wenye pesa zao

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Magereza jengeni magereza ya kulipia kwa wenye pesa wanaopenda

Mfano ni huu wa Marekani

Kuna kitu kinaitwa equality before the law...

ni takwa la katiba hilo Serekali inapaswa kutoa huduma zote za msingi kwa usawa ......
 
Kuna kitu kinaitwa equality before the law...
ni takwa la katiba hilo
serekali inapaswa kutoa huduma zote za msingi kwa usawa ......
Huduma za msingi zinakuwepo kama kawaida lakini mtu akitaka extra ndio alipie mfana anataka kukaa chumba cha peke yake self contained alipie
 
serikali ya wapi?? kwa hapa Tanzania watu wenye pesa zao wanaendaje jela?? itakua nguu sana
 
Ila viwe bei sana chumba kwa mwezi milion 2
 
Back
Top Bottom