Kujipendelea Muhimu


...khaaaa!?... kuna mambo unayatolea ushuhuda mpaka maneno yananiishia.
Hivi ukishatendwa namna hiyo huo moyo unakuwaje?...




Kwa muda Mbu.....kwa muda but after ther ukishapata 'uponyaji'..unakuwa stronger than ever....... kwani wajua kabisa kuwa hakuna kubwa utakalokutana nalo ambalo ni jipya.
 
Reactions: Mbu
Mimi nina idea, tunaweza panga kukutana ila tusijitambulishe ID au mwaonaje, nahisi wazo lake ni zuri, au utakuwa uzushi tu?
 
Reactions: Mbu
Kwa muda Mbu.....kwa muda but after ther ukishapata 'uponyaji'..unakuwa stronger than ever....... kwani wajua kabisa kuwa hakuna kubwa utakalokutana nalo ambalo ni jipya.

Very Good. Wenyewe wataalamu wa mambo wanasema, ..."What doesn't kill you makes you stronger!"

Blessed are those who endure when they are tested. When they pass the test,
they will receive the crown of life that God has promised to those who love him.
- James 1:12

The Crown............................
................................
!!! lol...

MwanajamiiOne hii sredi itaniponza, ...nisijemtia wivu 'Bibie' akanianzishia Gubu!
 
Mimi nina idea, tunaweza panga kukutana ila tusijitambulishe ID au mwaonaje, nahisi wazo lake ni zuri, au utakuwa uzushi tu?

Nilisoma JF members wa ARUSHA walifanya hiyo Get Together, wakaenda hata kutembelea mbuga za wanyama (?)...why not? kila kitu possible, nia tu!
 



.......Mwenzangu na kweli maana mh.......naomba nifunge sred!!!
Kila la kheri Mbu .......msalimie wifi.
 
Reactions: Mbu
Nilisoma JF members wa ARUSHA walifanya hiyo Get Together, wakaenda hata kutembelea mbuga za wanyama (?)...why not? kila kitu possible, nia tu!
kama wa arusha wameweza sie tunashindwaje? au ndio woga wa kukutana?
 
Reactions: Mbu
Mhhh nini? haiwezekani au?


idea nzuri
lakini kama ulifuatilia ya arusha

na kama unajua historia ya darhotwire.com

we acha tu

mikutano ya aina hii inafuatana na skendo nyingi za ngono

mwisho member wengine hupotea kimya kimya

unaweza shangaa baada ya mda wakabaki wachache mno katika waliokutana
 
.......Mwenzangu na kweli maana mh.......naomba nifunge sred!!!
Kila la kheri Mbu .......msalimie wifi.


...HAPANA, Usiondoke...ameelewa!....pheewww!,...
nikiteleza ana rungu la kunikumbushia wajibu!
 
Kama ndio hivo haifai, kwa hiyo wa arusha walipata skendo pia?
 
Reactions: Mbu

LOL! ...kwa mtaji huo acha tu safari iishie hapa,...sitaki kuwapoteza marafiki zangu wa JF bana.
 

The Boss mbona unakatisha tamaa watu? Yaani we hofu yako ni ngono tu?? wote tu watu wazima mtu akiamua kuchojoa kwa me/ke ni hiyari yake na pia kama watu wana mpango wa kukutana na kungonoka watakutana tu whether kunakuonana kama kikundi au la........... labda tuangalie athari nyingine za kukutana lakini la ngono hapana sidhani kama lina uzito kiasi cha kushikilia maji kiasi hiki!

Ukisema kuwa inaweekana tukapunguza msisimko wa mabandiko na post itaeleweka, wajua mtu ambaye hujawahimwona ni rahisi sana kumu'washa' kipost kama amechemka but as long as mkishaonana na kuanzisha urafiki kunaile ya kuoneana soni, huruma na hii inaua msisimko wa mijadala mbalimbali
 
Kama ndio hivo haifai, kwa hiyo wa arusha walipata skendo pia?

moja ya sababu dhb ilikufa ilikuwa ni hiyo

na kuhusu arusha

zilikuja thread hapa nyingi zenye kuashiria hayo

kuna thread moja mdada alilalamika kuwa wakaka wa jf walikuwa

kama wanawadhalilisha hivi,

walikuwa wanawatongoza na kuchukua namba za simu wazi wazi

akitoka huyu anakwenda kwa yule

yaani heshima haikuwepo

ukichanganya na pombe
pata picha
 
...HAPANA, Usiondoke...ameelewa!....pheewww!,...
nikiteleza ana rungu la kunikumbushia wajibu!
...................ah Mbu siko tayari kuiruin furaha ulonayo ndugu yangu. Huwa ninafarijika sana nionapo binadamu mwenzangu anafuraha na amani.
 
Reactions: Mbu

The Boss.......kama mambo yalikuwa hivi basi nashawishika kuamini kuwa JF imejaa watoto sana.................... and am dissappointed
 
Reactions: Mbu

...Word!...hizi AVATAR na Annony Names zinasaidia 'kumkoma Nyani Giladi!'...
Kuna members nawasoma humu, siku nikikutana nao itabidi nile kona...!
Yanini kunyooshewa vidole?

Acha tu niendelee kubakia Mbu,...mwenye shida na mimi ajue ataondoka na Malaria!
BTW, kule Facebook tayari kuna watu wanajilipua, he he he...
Kujipendelea Muhimu, acheni tu!
 
yaaani ilikuwa mbaya kiasi hicho laaa salaleeee
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…