Kujipendelea Muhimu



The Boss, member wa JF Arusha wanatusoma hapa.
Naona haya, naona vibaya...

Kama ni kweli hayo yametokea, na yalipata kuandikwa
naomba tukaifukue hiyo thread (topic)

Otherwise tutakuwa hatuwatendei haki kina kiongozi PJ,
na kundi lake.
Binafsi ningetamani Get Together ya JF members nasi tujipendelee.
Ila kwa maneno uliyoyaelezea mnh...ngoja kwanza...
 

Mbu............hapa natetemeka hadi utumbo.siamini hiki kitu kabisa but kea kuwa The Boss amesema kuwa wadada wa JF arusha!! walikuja kulalamika humu ingekuwa vizuri kama angetuwekea link ya thread hiyo. Dah am holding my pressure kwa kweli. Najiuliza mbona leo kwangu imekuwa hivi?? I started my day happier, then came Dinnah,,,and now this..........I think I need my rest....phweeeeeeee
 
Reactions: Mbu

...am in the same boat sweetheart,...yaani lililokuwa wazo zuri la Gaga limenitumbukia Nyongo!
Ni tuhuma nzito sana hizi kwa JF, hususan waliojumuika hiyo safari ya Mbugani.


...ngojea, usilale kwanza...
 
Nakubaliana nanyi kwa 75% na wakati huo naomba mashost mkae kimya (bila kutype wala kuclick) kwa muda wa dakika moja kuwakumbuka jamaa zangu (hasa wanaume) waliopoteza wapenzi wao kwa kuwapeleka mazingira hayo hayo na kwa nia hiyo hiyo na mwisho wa siku kugundua kwamba walifanya kosa kuwaintroduce wapenzi wao kwenye raha ambazo wanaweza kuwapa mara moja tu kwa miaka na wakati huo huo kuwakutanisha (bila kujua) wapenzi wao na jamaa wenye EPA zao wanaojua na kuweza kuwapeleka madada hao huko mahala mara mbili kila wanapohitaji kwenda mara moja.
Hamuwezi kuamini haraka lakini baadhi ya jamaa hawa wamelaumiwa na jamii zao kwa kosa la kuwapeleka wake zao wapendwa kwenye starehe ambazo ziko mbali nje ya uwezo wao, jambo ambalo limefananishwa na kuwapeleka sokoni kuuzwa.

Hivi mashost hamjui baadhi yenu mna uzuri wa kutukuka kiasi cha jamii kudhania hao waume zenu ni chini sana ya kiwango mlichostahili? Wanaume tuna kazi sana! Wapenzi wengine tunawapata vijijini na kuwapamba ili wasijihisi kupuuzwa wanapojilinganisha na wenzao wa town lakini baadaye inakuja kuonekana ni wazuri mno kuwa wake zetu so wanaojidhania wanastahili wanatupora kwa EPA na RICHMOND zao. Please Beautiful Ladies, have mercy on us.

Wewe una mtritigi? kwa kweli mambo kama haya yanaongeza sana mapenzi basi tu hatujagundua, i wish ......
 
naitafuta hiyo thread

iliandikwa mababa wa jf wametufataki kitu kama hiko
 
Reactions: Mbu

mnnnnhh!...Analyst kwakweli hapo kwenye red ni jipu unalostahili ukamuliwe mpaka kiini kitoke!
 
leo ningesutwa leo naona haa haa haaaaaaaa lol

mj01 umeiona link hiyo????????????/
 
I know...! I know.....! Mkuu unaniona nimekosa self confidence au siyo? It is just the way nimeamua kuipresent. Ningeanza kuzunguka ooh jamaa wanakuibia utadhani wewe hufai isingeonekana haraka kama ulivyoiona. At least I guess so.... Kama huamini yanatokea haya hapa nchini anza utafiti wako upya utagundua.

mnnnnhh!...Analyst kwakweli hapo kwenye red ni jipu unalostahili ukamuliwe mpaka kiini kitoke!
 
Reactions: Mbu
...am in the same boat sweetheart,...yaani lililokuwa wazo zuri la Gaga limenitumbukia Nyongo!
Ni tuhuma nzito sana hizi kwa JF, hususan waliojumuika hiyo safari ya Mbugani.


...ngojea, usilale kwanza...
Yule wa mbele ndio aliamua kuvaa suit kabisa kwendea mbugani? lol
 
Reactions: Mbu

...pheeww, Good Job! Anyway, madhali imefungwa tuiachie huko huko kabatini...
Shukran sana The Boss kwa kutuonyesha athari za upande wa pili wa shilingi.
Acha niendelee na mipango ya Kujipendelea na Soulmate wangu, Honeymoon(s)...raha raha tu!
 
Shauri yako we jifanye tu hapo upigwe ban

he he he we acha tu wangu

wameniambia niwaletee link halafu hiyo link nikawa siioni
nikasema leo kidume nasutwa lol

hapa nimepumua mno lol ha ha haaaaaaaa
 
Hii thread safi sana mkubwa! Nami huwa najipendelea mara kwa mara na beibe, mambo ya kidali poo! etc... Napenda sana mambo ya ufukweni!
 
he he he we acha tu wangu

wameniambia niwaletee link halafu hiyo link nikawa siioni
nikasema leo kidume nasutwa lol

hapa nimepumua mno lol ha ha haaaaaaaa
Pole jasho la kwato limekutoka
 

aarrghhh, wewe unajali watu wanavyokufikiria? achana nao! ...safi sana ulivyo i present.
Ni kweli kabisa, wengi wetu tunapitia experiences mbali mbali, nyingine zenye machungu kama hayo.
Ila sio wote wanastahiki kuhukumiwa bana,...ndio maana nikakwambia ni jipu hilo...halipoi mpaka na kiini kitoke.
I've been there,...sio wa kijijini...lakini alivyoanza kupendeza mjuaji akawa yeye.

Anyway, ukipata mwingine jipendelee nae tu bana. Maisha yenyewe mafupi haya kukalia kikaango cha manung'uniko.
 
Yule wa mbele ndio aliamua kuvaa suit kabisa kwendea mbugani? lol
na huyo dada hapo mwenye kitenge sijui ni lizzy au preta si wa arusha walikuwa wengi sana?
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…