Kujipendelea Muhimu

Kujipendelea Muhimu

Code:
[COLOR=red][B]
never waste time buying love[/B][/COLOR]..it has never worked and it will never do........................elekeza hizi nguvu katika kuonyesha mapenzi ya kweli siyo ya vitu,.................................................acha kumsononesha mwenzio kwa matarajio ya kuwa utampooza kwa vitu au mavituz...........[/QUOTE]

love needs efforts, kama hutumii efforts kuenzi penzi basi bado hujapenda.

N.B efforts ni pamoja na kutumia pesa.

[quote="Mbu, post: 2074195"][FONT=Book Antiqua][SIZE=3][COLOR=darkred]Freema,  rudia page One kumsoma Maria Roza, Bubu Ataka Kusema, ...na  Sangara.[/COLOR][/SIZE][/FONT]
[FONT=Book Antiqua][SIZE=3][COLOR=darkred]Wametoa [U]majibu ya msingi[/U] kabisa mydear.[/COLOR][/SIZE][/FONT][/QUOTE]

majibu yao yanazidisha maswali, bado hayajitoshelezi.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sangara yeshakukumba wewe, ha ha ha! Nimekusoma neno kwa neno,
hiyo ndio sababu wengine hujonea bora kuziunguza na 'nyumba ndogo' kuliko kujikera bure!

Mwj1 la aziz wangu,....Nakushauri urudi page one ukamsome tena Maria Roza kisha urudie walichokiandika kina BaK, Fidel80, na Sangara! Nyumba ndogo wanafwaudu kwakuwa Nyumba kubwa hawaishi Gubu!

Kiswahili naringia kwetu pwani mie...he he!

Avatar pole kwa kukukwaza bro,...natamani kusema lililo rohoni lakini acha thread isoge sogee kidogo...soon nitawashukia na wao!

Mbu aksante nimekusoma baba...........kwa hiyo sina haja ya kutamani kuwa nyumba ndogo bali nijitahidi kupunguza/kuacha gubu.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ehee?!! kumbe wanafaidi sana wenzetu.................................Hamna mtu anayetafuta nyumba ndogo humu jamani? Mkinionea mnijuze. Natanguliza aksante.

Mbu una mafumbo kama mwalimu wa kiswahili!!

hahahah wewe wewe wacha rafu...mie cku hizi kama kuna nyumba ndogo ya permanent bac inakula kwa tabu sana, nakaba mpaka penalt aisee.
 
Code:
Kwa wale wenzangu na mie ambao tukishanuniwa ndio 'hakieleweki mpaka anunuliwe khanga,' si vibaya tukajitutumua na kum-surprise mother house na bonge la week end 'Romantic' retreats kama hizi angalau mara moja kwa mwaka jamani...

never waste time buying love..it has never worked and it will never do........................elekeza hizi nguvu katika kuonyesha mapenzi ya kweli siyo ya vitu,.................................................acha kumsononesha mwenzio kwa matarajio ya kuwa utampooza kwa vitu au mavituz...........

...Nice one bro...ila ningefurahi zaidi nawe ukabainisha "kuonyesha mapenzi ya kweli" maana yake nini.
Waweza niorodheshea japo mambo kumi?

Mbu aksante nimekusoma baba...........kwa hiyo sina haja ya kutamani kuwa nyumba ndogo bali nijitahidi kupunguza/kuacha gubu.

...wow, nashukuru umekuwa mwepesi kubaini hilo.
I wish kina dada wangetambua Nyumba ndogo mara nyingi ni 'spare tyre' tu.
Wanaume wengi hutumia Nyumba ndogo kama 'fire extinguisher' kupunguza machungu toka kwa Bi Mkubwa.
Anyway, hii ni mada nyingine.

Namsubiri Bro Ruta au mwingineo aje aniorodheshee kuonyesha mapenzi ya kweli maana yake nini.
 
Mbu aksante kwa Remainder nzuri kama hii. Duh kama unamfanyia hayo umpendae mbona namwonea wivu!

Ngoja na mimi nitafute wa kumshika mkono nimlete aje asome hapa kama alivyofanya chauro.

MR umenichekesha sanawanawake wengine tunajifanyaga tuna uchungu na maendeleo kuliko wanaume na cha ajabu ni kuwa hatuzipigii kelele zile zinazotumbuliwa karibu kila siku Baba Chanja kwenye viti virefu akizungusha rounds za bia, konyagi, value, JDs; rounds za nyama choma na mafuta ya gari maana viti vingine huwa vinafuatwa mpaka nje ya mji!

Mbu aksante

Pia tusisahau na zile za salon, za watia kucha rangi mitaani na zile za kwenye boutique toleo jipya la nguo!
 
hahahah wewe wewe wacha rafu...mie cku hizi kama kuna nyumba ndogo ya permanent bac inakula kwa tabu sana, nakaba mpaka penalt aisee.

........Hahahahhahah haya dada wako ameshakuwa evicted candidate......hahahah nyamayao

Sasa Mbu kasema tupunguze gubu, hivi kukaba kwako hakuonekani kama ni gubu pia??
 
Mwee umfanyie hivi wife si ataanza kukulalamikia huko huko ohoo sijui mbona unachezea hela baba watoto si tungetumia kumalizia kibanda haha hahhah
Viva nyumba ndogo sie tunajua kutumia tuuuu:glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky:
msinishambulie jamani:madgrin:

Hahahaha lol, mwe nashukuru umenichekesha
 
Pia tusisahau na zile za salon, za watia kucha rangi mitaani na zile za kwenye boutique toleo jipya la nguo!

ukifikia kwa wale wa kununuliwa viwanja na kubadilishiwa magari ndio bac tena kiruuu, ndio mana mie kuanzia lile tukio langu nilimweleza kabisa pesa yangu ni yangu yako ni yetu mana naona haina kazi zaidi ya kujitundika bar na hawara, hapo akili iliniruka kabisa nikifikiria ana spend ngapi kwa huyo mwanamke, maisha haya jamani jamani.....
 
...wow, nashukuru umekuwa mwepesi kubaini hilo.
I wish kina dada wangetambua Nyumba ndogo mara nyingi ni 'spare tyre' tu.
Wanaume wengi hutumia Nyumba ndogo kama 'fire extinguisher' kupunguza machungu toka kwa Bi Mkubwa.
Anyway, hii ni mada nyingine.

Namsubiri Bro Ruta au mwingineo aje aniorodheshee kuonyesha mapenzi ya kweli maana yake nini.[/QUOTE]

We mbu mchokozi wewe unafikiri nyumba ndogo hatujijui kama ni maspare tyre na ndio maana na tunaangalia penye neema punguza machungu yako nami nipunguze yangu lol. kwi kwi kwi kwi kwi
 
........Hahahahhahah haya dada wako ameshakuwa evicted candidate......hahahah nyamayao

Sasa Mbu kasema tupunguze gubu, hivi kukaba kwako hakuonekani kama ni gubu pia??

mie nikidhani gubu ni yale makelele ya home yacyoisha, kidogo tabu kikubwa tabu, ya kwangu mie kama ni jmc tupo home nikimuona nabadili t-shirt na mie navaa jeans, nakucndikiza uendako, nipo home mpaka saa mbili hajafika namcal niambie upo wapi nikufate,habaki mtu home mwenyewe labda awe safarini. kama hawara atakuwa wanaonana kwa muda mchache sana na kwa wacwac wa kumtosha coz anakumbuka makubaliano yetu baada ya lile tukio, nakaba sana tu sasa hivi mpaka kieleweke.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
ukifikia kwa wale wa kununuliwa viwanja na kubadilishiwa magari ndio bac tena kiruuu, ndio mana mie kuanzia lile tukio langu nilimweleza kabisa pesa yangu ni yangu yako ni yetu mana naona haina kazi zaidi ya kujitundika bar na hawara, hapo akili iliniruka kabisa nikifikiria ana spend ngapi kwa huyo mwanamke, maisha haya jamani jamani.....

Hahahahhaa nyamayao una bahati ulikuwa na evidence na kidhibiti kabisa sasa kwa sie wavivu wa kufuatilia na wazembe wa kugundua inakuwaga tabu kweli. Mie nilisikia na kuonyeshwa kila aina ya ushahidi but badala ya kufuatilia nijue ukweli nikafunga moyo .................Si kwa uchungu la hasha nilikuwa kama ninayeshukuru kimoyomoyo kuwa angalau nitapumzika na gubu zake ...............ah
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...wow, nashukuru umekuwa mwepesi kubaini hilo.
I wish kina dada wangetambua Nyumba ndogo mara nyingi ni 'spare tyre' tu.
Wanaume wengi hutumia Nyumba ndogo kama 'fire extinguisher' kupunguza machungu toka kwa Bi Mkubwa.
Anyway, hii ni mada nyingine.

Namsubiri Bro Ruta au mwingineo aje aniorodheshee kuonyesha mapenzi ya kweli maana yake nini.

We mbu mchokozi wewe unafikiri nyumba ndogo hatujijui kama ni maspare tyre na ndio maana na tunaangalia penye neema punguza machungu yako nami nipunguze yangu lol. kwi kwi kwi kwi kwi[/QUOTE]

Hahahahahah matty una vituko wewe!! Eti nyumba ndogo tunajijua!!........umenichekesha binti.
 
...wow, nashukuru umekuwa mwepesi kubaini hilo.
I wish kina dada wangetambua Nyumba ndogo mara nyingi ni 'spare tyre' tu.
Wanaume wengi hutumia Nyumba ndogo kama 'fire extinguisher' kupunguza machungu toka kwa Bi Mkubwa.
Anyway, hii ni mada nyingine.

Namsubiri Bro Ruta au mwingineo aje aniorodheshee kuonyesha mapenzi ya kweli maana yake nini.

We mbu mchokozi wewe unafikiri nyumba ndogo hatujijui kama ni maspare tyre na ndio maana na tunaangalia penye neema punguza machungu yako nami nipunguze yangu lol. kwi kwi kwi kwi kwi[/QUOTE]

hahahah haya bwana, kweli kupunguzana machungu, ndio mana mie nasemega kwa kumrushia chupa sio hawara ni limwanaume lako coz hawara yeye alifatwa tu na maahadi kibao, mie nakula sahani moja na mtoa ahadi labda huyo hawara yake anunue ugomvi na ni wachache wa kununua ugomvi huwa wanatimuka mbio,hahaha natamani ungeniona cku hiyo nilivyowatokezea pale bar maisha bila vimbwanga hayanogi kabisa hahahahah
 
Swahiba Mbu,

Nadhani mambo ya kujipendelea ni lazima sana tu, si kwa mupenzi tu hapana sometimes hata wewe mwenyewe.... any chance to go out, refresh and dream awake is great

Napenda sana picha ulizoweka, zina raha yake (ombea tu usikutane na mbung'o au nyuki)

Upande wa mapenzi, sometimes just sleeping in a wonderful hotel/motel room with room services, super bath and smoooth drinking while watching something nice inaongeza sana utamu na kupunguza tribunals

Thank you for a gentle reminder" --- angalizo, gesti house za wenyeji hazihusiki na hii sredi:doh:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
We mbu mchokozi wewe unafikiri nyumba ndogo hatujijui kama ni maspare tyre na ndio maana na tunaangalia penye neema punguza machungu yako nami nipunguze yangu lol. kwi kwi kwi kwi kwi

Hahahahahah matty una vituko wewe!! Eti nyumba ndogo tunajijua!!........umenichekesha binti.[/QUOTE]

Hahahaha mamito hawa viumbe hawajui tu. Tena unakua na malengo yako kabisa. Huwaonagi humu wanalalamika eti wanawake ukimnyima atakacho basi na yeye anakunyima yale mambo. Anakua anajua dhahiri kama anatumika kama spare tu so ngoma drooo lo. Mbu una balaa weye
 
We mbu mchokozi wewe unafikiri nyumba ndogo hatujijui kama ni maspare tyre na ndio maana na tunaangalia penye neema punguza machungu yako nami nipunguze yangu lol. kwi kwi kwi kwi kwi

hahahah haya bwana, kweli kupunguzana machungu, ndio mana mie nasemega kwa kumrushia chupa sio hawara ni limwanaume lako coz hawara yeye alifatwa tu na maahadi kibao, mie nakula sahani moja na mtoa ahadi labda huyo hawara yake anunue ugomvi na ni wachache wa kununua ugomvi huwa wanatimuka mbio,hahaha natamani ungeniona cku hiyo nilivyowatokezea pale bar maisha bila vimbwanga hayanogi kabisa hahahahah[/QUOTE]

nyamayao bwana.......hivi huweziirudia tena? maana kama nakuona!!
 
Back
Top Bottom