Kujipendelea Muhimu

Kujipendelea Muhimu

...baada ya dhiki faraja. Ukiendekeza huzuni nayo inakuzoea..wazungu wanaita depression! ...raha jipe mwenyewe bana...

Mbu ameyapokea mabadiliko apate nyongeza ya siku za kuishi.
Am out.
 
Now you are talking...........

Uzuri wa bia hakuna kujipendelea..............ni kupiga raundi mtindo mmoja mkikolea mnahamishana meza na ngumi jiwe!
You know what??? leo najipendelea Thanks to the mosquito and asprin

no sugar added!!
 
...baada ya dhiki faraja. Ukiendekeza huzuni nayo inakuzoea..wazungu wanaita depression! ...raha jipe mwenyewe bana...

Mbu ameyapokea mabadiliko apate nyongeza ya siku za kuishi.
Am out.
baelezeye bhandugu

kula aha ikuzoee
 
You know what??? leo najipendelea Thanks to the mosquito and asprin

no sugar added!!

Sasa na hili limjamaa limepandisha ushuru wa vinywaji vyetu.....

Inauma sana asee!
 
Sasa na hili limjamaa limepandisha ushuru wa vinywaji vyetu.....

Inauma sana asee!
na sisi tutaongeza ubunifu katika kuongeza kipato... HAKUNA KULALA HADI KIELEWEKE MKUU

Salamu nyingi kutoka kwa waliopigwa ban:madgrin:
 
Du na mm ntajaribu lakini mwaka huu nadaiwa kichizi na hata kiwanja sijanunua sembuse kununua mifuko ya cement.
MariaRosa nakubaliana na ww wife lazima agombe, labda km ni posho za Bungeni niende na nyumba ndogo
 
na sisi tutaongeza ubunifu katika kuongeza kipato... HAKUNA KULALA HADI KIELEWEKE MKUU

Salamu nyingi kutoka kwa waliopigwa ban:madgrin:

Hahahahaha...... juhudi binafsi za kumamata mshiko wa kunywea zem biaz!

Naona una mpango wa kuwafuata huko..........Yo Yo, Bigi, Fellow Tablet1 na Fox Foxy Foxxy
 
Ha ha haa! minachojua wanawake bwana hawana fomula usipo mpeleka tena inaweza kuwa tabu,Mungu awasaidie tu wanaume kuishi na hawa viumbe wa ajabu
 
We mbu inaonekana sio wa malaria,haya bwana tumekusoma kwa ushauri wako mzuri
 
Hahahahaha...... juhudi binafsi za kumamata mshiko wa kunywea zem biaz!

Naona una mpango wa kuwafuata huko..........Yo Yo, Bigi, Fellow Tablet1 na Fox Foxy Foxxy
mkuu wote nawaombea kheri including 'TF', Janjaweed (mtaalam wa rap), Yoyo, Fellow Tablet1, Memo... lakini huyo wa mwisho namuombea a "rot in hell"
 
mkuu wote nawaombea kheri including 'TF', Janjaweed (mtaalam wa rap), Yoyo, Fellow Tablet1, Memo... lakini huyo wa mwisho namuombea a "rot in hell"

Heheheheeh...........huko lupango waliko naona itakuwa NGUMI JIWE!
 
Sitashangaa ikiwa buku mbili..........lakini siye tutakunywa tu, hatuna jinsi!

Mi naona serikali haipendi familia zetu. Kupandisha bei ya bia wanakomoa familia maana mi mia zangu tano kila siku ziko palepale. Ina maana posho ninayoaloketi kwenye familia inapigwa panga!
 
Mi naona serikali haipendi familia zetu. Kupandisha bei ya bia wanakomoa familia maana mi mia zangu tano kila siku ziko palepale. Ina maana posho ninayoaloketi kwenye familia inapigwa panga!
Hahahahahaaaa unapenda bia kiasi hiki?
 
On topik...naombeni feedback za kiota kipya hapo mwanza..malaika -sumthing like that.

Nani ana good/bad reviews...kuanzia service za chakula na vinywaji, usalama, nk.
Haya tena, wakazi wa mwanza, na mliofika hapo, jengeni hoja.
 
...halafu mtm unajua?...thamani na hadhi ya mtu inategemea na unapojitutumua kumpeleka.
Kumpeleka mamsap guest house wakati mlipotongozana ilikuwa highlife, ni kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa. Hata mungu hapendi..

...1st date ni 3*** star place na kupanda juu...tumia pesa ikuzoee ndivo asemavyo BJ. Mtaodhani na kibri poleni, my soulmate ni 5***** star quality!

...dah, leo mauzo hayajanikalia sawa.
Mamsap atanielewa kweli?

Jipangeni jamani, maisha yenyewe haya haya..mnajidai kungojea paradise ilhali ibada zenyewe za kuongezea salio (pay as you go)...

......................... Some people are very lucky kwa kweli.:A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
Back
Top Bottom