Kujirudia kwa ndoto kuna maana gani?!!!

Kujirudia kwa ndoto kuna maana gani?!!!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,854
Reaction score
5,716
habarini!
wakuu kuna maana gani kwa ndoto hiyohiyo kujirudia rudia?
unaota, unaamka na kutulia kidogo. ukilala inakuja tena ndoto ileile. unaamka tena, unaenda chooni kujiweka sawa, unarudi na kulala kidogo tu inakuja tena ndoto ileile.....ina maana gani?

kama hiyo haitoshi, siku nyingine tena unaendelea kuiota tena ndoto hiyo na katika mazingira yaleyale ya kujirudia. lakini hata ikija mpya basi kujirudia tena kwa siku hiyo na pengine siku zingine ni kawaida tu. hii ni nini wajuzi?
 
Kiroho ukiota ndoto hiyo hiyo mara tatu. Kwa asilimia kubwa hiyo ndoto itakuwa kweli.
 
habarini!
wakuu kuna maana gani kwa ndoto hiyohiyo kujirudia rudia?
unaota, unaamka na kutulia kidogo. ukilala inakuja tena ndoto ileile. unaamka tena, unaenda chooni kujiweka sawa, unarudi na kulala kidogo tu inakuja tena ndoto ileile.....ina maana gani?

kama hiyo haitoshi, siku nyingine tena unaendelea kuiota tena ndoto hiyo na katika mazingira yaleyale ya kujirudia. lakini hata ikija mpya basi kujirudia tena kwa siku hiyo na pengine siku zingine ni kawaida tu. hii ni nini wajuzi?
Hiyo ni aina ya ndoto inaitwa ndoto maono au ndoto taarifa
Kuna jambo unajaribu kudokezewa ndotoni sasa aidha halitimii au hulifanyii kazi..
 
Ndoto inayojirudia.
Ayubu 33:14-15
Kwa kuwa Mungu hunena Mara moja,naam, hata Mara ya pili ajapokuwa mtu hajali,
Katika ndoto, katika maono ya usiku...
Mwanzo 41:32
Na ndoto ya farao kwa vile ilikuja Mara mbili, ni kwasababu neno hili Mungu amelithibitisha, na Mungu atalitimiza upesi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mshana naomba unipe tafsiri ya ndoto,mfano MTU amesoma hadi chuo Kikuu na kuhitimu muda mrefu uliopita,Ila anakua anaota kua yupo shule ya msingi ama sekondari,na hizo ndoto zinajirudia Mara nyingi sana.he hapo inamaana gan.
Hiyo ni aina ya ndoto inaitwa ndoto maono au ndoto taarifa
Kuna jambo unajaribu kudokezewa ndotoni sasa aidha halitimii au hulifanyii kazi..
 
Mkuu mshana naomba unipe tafsiri ya ndoto,mfano MTU amesoma hadi chuo Kikuu na kuhitimu muda mrefu uliopita,Ila anakua anaota kua yupo shule ya msingi ama sekondari,na hizo ndoto zinajirudia Mara nyingi sana.he hapo inamaana gan.
Hii mwl. Mwakasege alishaitolea tafsiri, unakuwa umekwama mahali kimaisha au kimaendeleo.
 
mwakasege alishawahi tafsiri hii ndoto.
Mkuu mshana naomba unipe tafsiri ya ndoto,mfano MTU amesoma hadi chuo Kikuu na kuhitimu muda mrefu uliopita,Ila anakua anaota kua yupo shule ya msingi ama sekondari,na hizo ndoto zinajirudia Mara nyingi sana.he hapo inamaana gan.
 
habarini!
wakuu kuna maana gani kwa ndoto hiyohiyo kujirudia rudia?
unaota, unaamka na kutulia kidogo. ukilala inakuja tena ndoto ileile. unaamka tena, unaenda chooni kujiweka sawa, unarudi na kulala kidogo tu inakuja tena ndoto ileile.....ina maana gani?

kama hiyo haitoshi, siku nyingine tena unaendelea kuiota tena ndoto hiyo na katika mazingira yaleyale ya kujirudia. lakini hata ikija mpya basi kujirudia tena kwa siku hiyo na pengine siku zingine ni kawaida tu. hii ni nini wajuzi?
Ukiona ndogo inajirudia ujue hilo jambo lazima litokee hata kama umeota baba yako kafa ikirudia Mara mbili tatu au zaidi itakuwa ya ukweli hiyo ilishanitokea niliota jirani yangu kafa nikasali kukemea na kufunga hiyo roho ndoto ikanirudia Mara tatu tuko msibani nje kwake na kweli ikatoke vile vile nilivyoona kwenye ndogo nikajua Mungu amesharuhusu itokee
 
Back
Top Bottom