Aisee ni kama vile umeniwahi... mimi nilishahitimu muda tu lakini mara naota nipo primary na wadau mara sekondari mara... yaani ilimradi tu sasa huwa nikiamka nacheka tu maana eti mimi kabisa nafokewa na mwalimu primary na ninanywea kabisa
Nikirudi kwa mtoa mada, sijawahi kuota ndoto kwa kujirudia ili nakumbuka kama mara mbili hivi nimewAhi kuota ndoto kwa mwendelezo... yaani unaota halafu unashtuka kwa muda (mfano kwenda nje na kurudi kulala) halafu ukisinzia tena unaota kwa kuanzia pale ilipokatikia ndoto ya kwanza uliposhtuka