Kiroho ukiota ndoto hiyo hiyo mara tatu. Kwa asilimia kubwa hiyo ndoto itakuwa kweli.habarini!
wakuu kuna maana gani kwa ndoto hiyohiyo kujirudia rudia?
unaota, unaamka na kutulia kidogo. ukilala inakuja tena ndoto ileile. unaamka tena, unaenda chooni kujiweka sawa, unarudi na kulala kidogo tu inakuja tena ndoto ileile.....ina maana gani?
kama hiyo haitoshi, siku nyingine tena unaendelea kuiota tena ndoto hiyo na katika mazingira yaleyale ya kujirudia. lakini hata ikija mpya basi kujirudia tena kwa siku hiyo na pengine siku zingine ni kawaida tu. hii ni nini wajuzi?
Hiyo ni aina ya ndoto inaitwa ndoto maono au ndoto taarifahabarini!
wakuu kuna maana gani kwa ndoto hiyohiyo kujirudia rudia?
unaota, unaamka na kutulia kidogo. ukilala inakuja tena ndoto ileile. unaamka tena, unaenda chooni kujiweka sawa, unarudi na kulala kidogo tu inakuja tena ndoto ileile.....ina maana gani?
kama hiyo haitoshi, siku nyingine tena unaendelea kuiota tena ndoto hiyo na katika mazingira yaleyale ya kujirudia. lakini hata ikija mpya basi kujirudia tena kwa siku hiyo na pengine siku zingine ni kawaida tu. hii ni nini wajuzi?
AhsanteSoma deep kuhusu sub conscious mind ,naimani utajifunza vingi na utapata jibu la swali lako.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Oh, shukraniKiroho ukiota ndoto hiyo hiyo mara tatu. Kwa asilimia kubwa hiyo ndoto itakuwa kweli.
Ahsante sana, ngoja sasa nimakinike nazoHiyo ni aina ya ndoto inaitwa ndoto maono au ndoto taarifa
Kuna jambo unajaribu kudokezewa ndotoni sasa aidha halitimii au hulifanyii kazi..
Yeah kikubwa ni kumakinikaAhsante sana, ngoja sasa nimakinike nazo
Kwa kuongezea tu hapo, ndoto itakua kweli na inahitaji ulishughulikie haraka....Kiroho ukiota ndoto hiyo hiyo mara tatu. Kwa asilimia kubwa hiyo ndoto itakuwa kweli.
Saw a kiongoziAngalia na chakula unachokula na muda wa ku digest kabla hujaenda kulala
Hiyo ni aina ya ndoto inaitwa ndoto maono au ndoto taarifa
Kuna jambo unajaribu kudokezewa ndotoni sasa aidha halitimii au hulifanyii kazi..
Hii mwl. Mwakasege alishaitolea tafsiri, unakuwa umekwama mahali kimaisha au kimaendeleo.Mkuu mshana naomba unipe tafsiri ya ndoto,mfano MTU amesoma hadi chuo Kikuu na kuhitimu muda mrefu uliopita,Ila anakua anaota kua yupo shule ya msingi ama sekondari,na hizo ndoto zinajirudia Mara nyingi sana.he hapo inamaana gan.
Mkuu mshana naomba unipe tafsiri ya ndoto,mfano MTU amesoma hadi chuo Kikuu na kuhitimu muda mrefu uliopita,Ila anakua anaota kua yupo shule ya msingi ama sekondari,na hizo ndoto zinajirudia Mara nyingi sana.he hapo inamaana gan.
Ukiona ndogo inajirudia ujue hilo jambo lazima litokee hata kama umeota baba yako kafa ikirudia Mara mbili tatu au zaidi itakuwa ya ukweli hiyo ilishanitokea niliota jirani yangu kafa nikasali kukemea na kufunga hiyo roho ndoto ikanirudia Mara tatu tuko msibani nje kwake na kweli ikatoke vile vile nilivyoona kwenye ndogo nikajua Mungu amesharuhusu itokeehabarini!