shukrani mkuuUkiona ndogo inajirudia ujue hilo jambo lazima litokee hata kama umeota baba yako kafa ikirudia Mara mbili tatu au zaidi itakuwa ya ukweli hiyo ilishanitokea niliota jirani yangu kafa nikasali kukemea na kufunga hiyo roho ndoto ikanirudia Mara tatu tuko msibani nje kwake na kweli ikatoke vile vile nilivyoona kwenye ndogo nikajua Mungu amesharuhusu itokee
Aisee ni kama vile umeniwahi... mimi nilishahitimu muda tu lakini mara naota nipo primary na wadau mara sekondari mara... yaani ilimradi tu sasa huwa nikiamka nacheka tu maana eti mimi kabisa nafokewa na mwalimu primary na ninanywea kabisaMkuu mshana naomba unipe tafsiri ya ndoto,mfano MTU amesoma hadi chuo Kikuu na kuhitimu muda mrefu uliopita,Ila anakua anaota kua yupo shule ya msingi ama sekondari,na hizo ndoto zinajirudia Mara nyingi sana.he hapo inamaana gan.
sawa, ahsante!Pole sana... Lipa tu madeni ya watu...
ahsante mkuu, umeongeza kitu hapo nafikiri tunaweza kupata mwanga humuAisee ni kama vile umeniwahi... mimi nilishahitimu muda tu lakini mara naota nipo primary na wadau mara sekondari mara... yaani ilimradi tu sasa huwa nikiamka nacheka tu maana eti mimi kabisa nafokewa na mwalimu primary na ninanywea kabisa
Nikirudi kwa mtoa mada, sijawahi kuota ndoto kwa kujirudia ili nakumbuka kama mara mbili hivi nimewAhi kuota ndoto kwa mwendelezo... yaani unaota halafu unashtuka kwa muda (mfano kwenda nje na kurudi kulala) halafu ukisinzia tena unaota kwa kuanzia pale ilipokatikia ndoto ya kwanza uliposhtuka
Hii ndoto imetokea kuwa maarufu sana lakini tafsiri yake ni kwamba kuna jambo/mambo yanakuhitaji kuyafanya ama kuyakamilisha nawe bado hujafanya hivyoMkuu mshana naomba unipe tafsiri ya ndoto,mfano MTU amesoma hadi chuo Kikuu na kuhitimu muda mrefu uliopita,Ila anakua anaota kua yupo shule ya msingi ama sekondari,na hizo ndoto zinajirudia Mara nyingi sana.he hapo inamaana gan.