Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Za kazi penyewe hapo!Jamani tangu nimeamka sijaoga na naendelea na kazi kama kawaida. Tatizo ni kwamba kila ukifika wakati wa kuoga nagombana sana na nafsi na mwili wangu. Hadi nafikia uamuzi wa kwenda kuoga nakuwa nimejilazimisha hadi basi. Madhara ya kulazimisha kitu ambapo mwili wangu umakuwa haujakubali katika harakati za kuoga unanitesa sana. Nifanyeje niwe naoga kwa hiyari?