Kujisikia vibaya kila unapofika wakati wa kwenda kuoga.

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Za kazi penyewe hapo!Jamani tangu nimeamka sijaoga na naendelea na kazi kama kawaida. Tatizo ni kwamba kila ukifika wakati wa kuoga nagombana sana na nafsi na mwili wangu. Hadi nafikia uamuzi wa kwenda kuoga nakuwa nimejilazimisha hadi basi. Madhara ya kulazimisha kitu ambapo mwili wangu umakuwa haujakubali katika harakati za kuoga unanitesa sana. Nifanyeje niwe naoga kwa hiyari?
 
njoo niwe nakuogesha!!,asubuh kabla ya kazi na jioni baada ya kazi
 
Kama wewe ni mwanaume sio mbaya endelea kujilazimisha hivyo hivyo ila kama ni mwanamke aisee pambana na mwili upate ushindi wa kiroho!
 
Umeshachukuliwa msukule wewe. Ngoja MziziMkavu aje akuzimue

Ebo! Kwani umeambiwa MziziMkavu huagua wachafu?

Huyu Nyoni anapaswa kujizoesha kuoga maji mara kwa mara hasa nyakati za baridi, atazoea tu. Uchafu huo.
 
Last edited by a moderator:
Mchafu kuoga wewe! usinambie unajifariji na kale kamsemo kula lazima kuoga hiari!!
 
Nataka amtengenezee dawa ya nguvu za kiumeni. Akiwa na demu tunahamisha tatizo, itakuwa kazo yake kumsimamia aoge na kumsugua mgongo!
Ebo! Kwani umeambiwa MziziMkavu huagua wachafu?

Huyu Nyoni anapaswa kujizoesha kuoga maji mara kwa mara hasa nyakati za baridi, atazoea tu. Uchafu huo.
 
Last edited by a moderator:
dah tatizo lako nishalijua loooh mkuu pole sana
aisee duhh pole sana jamani

AISEE POLE SANA KWA WAKATI MGIPUMU
ila isee unaweza ukapata dawa ila za kuagiza sasa

dah hilo tatizo lina wakumba watu wengi looh
nasikitika sana
 
Za kazi penyewe hapo!Jamani tangu nimeamka sijaoga na naendelea na kazi kama kawaida. Tatizo ni kwamba kila ukifika wakati wa kuoga nagombana sana na nafsi na mwili wangu. Hadi nafikia uamuzi wa kwenda kuoga nakuwa nimejilazimisha hadi basi. Madhara ya kulazimisha kitu ambapo mwili wangu umakuwa haujakubali katika harakati za kuoga unanitesa sana. Nifanyeje niwe naoga kwa hiyari?

Usioge kwani utakuwa na hasara gani?
 
badili mazingira, like sabuni, taulo, maji kama ni baridi uwe unatumia ya uvuguvugu
 
Za kazi penyewe hapo!Jamani tangu nimeamka sijaoga na naendelea na kazi kama kawaida. Tatizo ni kwamba kila ukifika wakati wa kuoga nagombana sana na nafsi na mwili wangu. Hadi nafikia uamuzi wa kwenda kuoga nakuwa nimejilazimisha hadi basi. Madhara ya kulazimisha kitu ambapo mwili wangu umakuwa haujakubali katika harakati za kuoga unanitesa sana. Nifanyeje niwe naoga kwa hiyari?

bafu lako likoje? linavutia kukaa ndani kwa muda wa kawaida au ni yale ambayo ukiingia unatamani utoke saa hiyohiyo?
 
Za kazi penyewe hapo!Jamani tangu nimeamka sijaoga na naendelea na kazi kama kawaida. Tatizo ni kwamba kila ukifika wakati wa kuoga nagombana sana na nafsi na mwili wangu. Hadi nafikia uamuzi wa kwenda kuoga nakuwa nimejilazimisha hadi basi. Madhara ya kulazimisha kitu ambapo mwili wangu umakuwa haujakubali katika harakati za kuoga unanitesa sana. Nifanyeje niwe naoga kwa hiyari?

Mkuu, ndiyo kwanza umekuja mjini? Nakuuliza kwa sababu watu wengi wa vijijini wanakuwa hawajazoea kuoga na wanaona shida sana kuoga pia hawaelewi tu kwa nini mtu aoge.
 
kingekuwas kuna kucopy na kupaste ktk kuoga huyu jamaa angefaidika sana na mfumo wangu wa kuoga!!
 
Back
Top Bottom