Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Umeshachukuliwa msukule wewe. Ngoja MziziMkavu aje akuzimue
Napita nimetumwa na baba sokoni.
Ebo! Kwani umeambiwa MziziMkavu huagua wachafu?
Huyu Nyoni anapaswa kujizoesha kuoga maji mara kwa mara hasa nyakati za baridi, atazoea tu. Uchafu huo.
Za kazi penyewe hapo!Jamani tangu nimeamka sijaoga na naendelea na kazi kama kawaida. Tatizo ni kwamba kila ukifika wakati wa kuoga nagombana sana na nafsi na mwili wangu. Hadi nafikia uamuzi wa kwenda kuoga nakuwa nimejilazimisha hadi basi. Madhara ya kulazimisha kitu ambapo mwili wangu umakuwa haujakubali katika harakati za kuoga unanitesa sana. Nifanyeje niwe naoga kwa hiyari?
njoo niwe nakuogesha!!,asubuh kabla ya kazi na jioni baada ya kazi

Mkuu, ndiyo kwanza umekuja mjini? Nakuuliza kwa sababu watu wengi wa vijijini wanakuwa hawajazoea kuoga na wanaona shida sana kuoga pia hawaelewi tu kwa nini mtu aoge.