Kujisokonyoa sehemu za siri na kunusa: ni hulka au ni ugonjwa?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Kwa mtazamo wangu..! Kitendo cha kujisokonyoa sehemu za siri na kisha kunusa vidole mara nyingi husababishwa na msukumo wa kibaolojia au wa kisaikolojia.

Kwa asili, binadamu ana silika ya chini kwa chini (subconscious instinct) inayomfanya achunguze mwili wake ili kuhakikisha uko salama na msafi..., ambapo pua hutumika kama chombo cha ukaguzi wa haraka.

Hata hivyo, ikiwa kitendo hiki kinafanyika kwa mazoea tu bila uwepo wa miwasho, kinasalia kuwa tabia ya kibinafsi au njia ya kupunguza msongo wa mawazo, ambayo inapaswa kudhibitiwa hasa mtu anapokuwa mbele ya jamii.

Je nawe una hii changamoto!?
 
Kuna wakati nilikua nina mtindo wa kunusa nguo zangu za ndani. Nikisikia ile harufu, basi rohoo kwatuuu.
Mwili wa binadamu unatoa kemikali za asili zinazoitwa pheromones, hasa kupitia tezi jasho zilizopo maeneo ya siri na makwapa.
Kemikali hizi hubeba "utambulisho wa kipekee wa harufu yako.
"Ubongo wako unapoitambua harufu yako mwenyewe, unaweza kuchochea utengenezaji wa homoni za furaha na utulivu kama oxytocin au dopamine.πŸ˜€

Hii ndio maana kusikia harufu hiyo kulikufanya ujisikie vizuri au kupata hisia ya kuridhika (comfort).πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚
 
Nakubali Gran Pah, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Mengine yanipite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…