Kujisokonyoa sehemu za siri na kunusa: ni hulka au ni ugonjwa?

Nyuzi za Leo😀😀ngoja nikachungulie na nyuzi za bichwa komwe kaamkaje leo
My fingers smell weird !.jpeg
 
Sizani kama kuna mtu hanusi sehemu mojawapo ya mwili wake na kuhisi raha fulani..... Mfano wa hzo sehemu.

1.Kwapa
2.Pumbu/Sehemu ya uke
3.mfereji wa mkund* (Apa kunawengine hunusi ushuzi wao wakijamba)
4.kunusa kucha zako baada ya kuzikwangua kwa meno.
5.Kunusa miguu hasa baada ya kuvaa viatu muda mrefu (wengine hunusa soksi au viatu)
6.Kuna harufu inayopatikana kwenye vidole vya mguu kati ya kidole na kidole

7. N. K

Kuna wengine wanapenda kunusa nnya kama beberu anavyonusaga nnye ya jike
 
Kuna wengine wanapenda kunusa nnya kama beberu anavyonusaga nnye ya jike🥺🙌🏿
 
Sizani kama kuna mtu hanusi sehemu mojawapo ya mwili wake na kuhisi raha fulani..... Mfano wa hzo sehemu.

1.Kwapa
2.Pumbu/Sehemu ya uke
3.mfereji wa mkund* (Apa kunawengine hunusi ushuzi wao wakijamba)
4.kunusa kucha zako baada ya kuzikwangua kwa meno.
5.Kunusa miguu hasa baada ya kuvaa viatu muda mrefu (wengine hunusa soksi au viatu)
6.Kuna harufu inayopatikana kwenye vidole vya mguu kati ya kidole na kidole

7. N. K

Kuna wengine wanapenda kunusa nnya kama beberu anavyonusaga nnye ya jike
kunawengine hunusi ushuzi wao wakijamba)😂😂😂
 
Kwa mtazamo wangu..! Kitendo cha kujisokonyoa sehemu za siri na kisha kunusa vidole mara nyingi husababishwa na msukumo wa kibaolojia au wa kisaikolojia.

Kwa asili, binadamu ana silika ya chini kwa chini (subconscious instinct) inayomfanya achunguze mwili wake ili kuhakikisha uko salama na msafi..., ambapo pua hutumika kama chombo cha ukaguzi wa haraka.

Hata hivyo, ikiwa kitendo hiki kinafanyika kwa mazoea tu bila uwepo wa miwasho, kinasalia kuwa tabia ya kibinafsi au njia ya kupunguza msongo wa mawazo, ambayo inapaswa kudhibitiwa hasa mtu anapokuwa mbele ya jamii.

Je nawe una hii changamoto!?
YOU BETTER WATCH YOUR BACK LINDA MGONGO WAKO HALI NI MBAYA
 
👋👋👋👍
 
Back
Top Bottom