Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Wapo wanaonusa wake zao na waume zao ama mahawaraMkuu, weka point yako vizuri ili ieleweke kwa wote.

Lengo lao ni nini hasa.Wapo wanaonusa wake zao na waume zao ama mahawara
Kutafuta mzuka ety 🤩Lengo lao ni nini hasa.
Ngoja nami nijaribu nione itakuwaje.Kutafuta mzuka ety 🤩
Unasemaje? Ebu Ngoja kwanza na mimi nijaribu kujisokonyoa halafu nitarudi kusoma maoni ya wadau 😎Kwa mtazamo wangu..! Kitendo cha kujisokonyoa sehemu za siri na kisha kunusa vidole mara nyingi husababishwa na msukumo wa kibaolojia au wa kisaikolojia.
Kwa asili, binadamu ana silika ya chini kwa chini (subconscious instinct) inayomfanya achunguze mwili wake ili kuhakikisha uko salama na msafi..., ambapo pua hutumika kama chombo cha ukaguzi wa haraka.
Hata hivyo, ikiwa kitendo hiki kinafanyika kwa mazoea tu bila uwepo wa miwasho, kinasalia kuwa tabia ya kibinafsi au njia ya kupunguza msongo wa mawazo, ambayo inapaswa kudhibitiwa hasa mtu anapokuwa mbele ya jamii.
Je nawe una hii changamoto!?
Huwa hamyapaki mafuta?😣Mimi toka nikiwa kidato cha sita, huwa sishikani na mtu/watu mikono bila sababu ya msingi. Kama ni msela nakupa tano tuu.
Mtu anajikuna unga wa kende, badae anakupa mkono.
Huo ni ugonjwa wa akili, kitaalam unaitwa Cronopsychoxenosis, shida ipo sehem ya ubongo inayohusiana na mazoea🤔🩺Kwa mtazamo wangu..! Kitendo cha kujisokonyoa sehemu za siri na kisha kunusa vidole mara nyingi husababishwa na msukumo wa kibaolojia au wa kisaikolojia.
Kwa asili, binadamu ana silika ya chini kwa chini (subconscious instinct) inayomfanya achunguze mwili wake ili kuhakikisha uko salama na msafi..., ambapo pua hutumika kama chombo cha ukaguzi wa haraka.
Hata hivyo, ikiwa kitendo hiki kinafanyika kwa mazoea tu bila uwepo wa miwasho, kinasalia kuwa tabia ya kibinafsi au njia ya kupunguza msongo wa mawazo, ambayo inapaswa kudhibitiwa hasa mtu anapokuwa mbele ya jamii.
Je nawe una hii changamoto!?
Kwa lugha nyepesi hiyo ni fantasyKwa mtazamo wangu..! Kitendo cha kujisokonyoa sehemu za siri na kisha kunusa vidole mara nyingi husababishwa na msukumo wa kibaolojia au wa kisaikolojia.