Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Binafsi napenda kusikia ile kwapa langu linavyonukia scents sii scents Serengeti lite sii lite na safari.....
Habari ndugu 😄😄
Yule gen Z mswahili mno.Nzuri mkuu, vipi Chica aliposti picha mkuu?
😫 baadhi ya wanawake wawe na nidhamu mtu anaona una mke anakuja kukukatikia sii ushamba ni nn 🤔 BICHWA KOMWE wachiambeee
hiyo tabia mabinti ni ngumu kuiacha 🐒Kuna wakati nilikua nina mtindo wa kunusa nguo zangu za ndani. Nikisikia ile harufu, basi rohoo kwatuuu.
Wee em sema kweli?hiyo tabia mabinti ni ngumu kuiacha 🐒
hivi wewe umeacha kabisa hiyo tabia au umepunguza au umepumzika kwa muda tu?🐒Wee em sema kweli?
😂😂😂Ndrrrrrrooooo narudi ngj nitulie na comeback za leo 😅
Nimepunguza.hivi wewe umeacha kabisa hiyo tabia au umepunguza au umepumzika kwa muda tu?🐒