kujistukia unapoenda msalani

kujistukia unapoenda msalani

kitalembwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
3,607
Reaction score
9,430
Kwa nini kuna hulka kwamba mtu akienda msalani kwa long call(ku puuh) hataki mtu mwingine yeyote ajue ?
iwe umekutanana nae atakausha vibaya sana... kuna nini ? kuna mtu ambaye hiyo hali haimtokei ? mbaya zaidi kwa wale wanaoshare vyoo, mfano mazingira ya nyumbani, sehemu kuna wapangaji nk, mtu akienda msalani hufanya timing kubwa sana wakati wa kuingia, na kutoka pia hufanya timing... na ikitokea umemuona anatoka msalani hatakuangalia usoni.....

Sasa itokee, umetoka msalani fasta , mtu nae akaingia humo, utajistukia sana, kuna ile hewa nzito mtu atakumbana nayo bado haijaisha .....

nimewahi kukaa mitaa flani ya ilala, nyumba ya wapangaji.. vyumba vilikuwa sita, vyoo vilikuwa viwili, means vyumba vitatu kwa choo kimoja. pale bachelor nlikuwa peke yangu, na mdada flani hivi mtangazaji kipindi hicho alikuwa hajaolewa, wapangaji wengine wote walikuwa couples na wengine wana familia kabisa...

nyumba ilikuwa kwa mbele hivi, vyoo vipo uwani, kwa mazingira ya pale mda wote palikuwa hapakosekani watu, kuna kipindi kwenda msalani mpaka ufanye timing.. au ile mida ukirud night ukienda kuoga unamaliza kila kitu....long time kidogo

akili za usiku, chitchat.
 
Mimi ni miongoni mwa watu wanaofanya timing iliyotukuka.
Si kujishtukia tuu lakini sipendi.

Hata nikiona mtu anaelekea Chooni kunya mimi huwa najificha ili asishtuke aache kwenda.

Kuna mijitu mingine aibu haina mfano huyu mzee kila asubuhi yeye anakaa pembeni ya choo kunyoa vijindevu vyake yaani kero.

Inasababisha Constipation sana.
 
Mishuzi bhana weee... mh hasa hasa wapangaji wengine wanakaa mlangoni kabisaaaa mwa chooni basi wanasikia yote... balaa lipo katika kutoka ukimaliza
 
Raha ya gogo ukate sehem ambayo upo comfortable...kama mm napenda kukata gogo nikiwa kwangu huku naperuzi JF

Saa nyingine tunajibu comment wakat tunakunya
hahaha ni kweli mkuu privacy inahitajika.
 
Mimi ni miongoni mwa watu wanaofanya timing iliyotukuka.
Si kujishtukia tuu lakini sipendi.

Hata nikiona mtu anaelekea Chooni kunya mimi huwa najificha ili asishtuke aache kwenda.

Kuna mijitu mingine aibu haina mfano huyu mzee kila asubuhi yeye anakaa pembeni ya choo kunyoa vijindevu vyake yaani kero.

Inasababisha Constipation sana.
noma sana mkuu, upojua kutiming vzr hasa mazingira ya uswazi utagongewa mlango kabisa... wewe mbona humaliziii... wanawake unakuta wapo na ndoo zao wanakusubiri nje...
 
Mishuzi bhana weee... mh hasa hasa wapangaji wengine wanakaa mlangoni kabisaaaa mwa chooni basi wanasikia yote... balaa lipo katika kutoka ukimaliza[/QUOT
ukitoka kumaliza unajikausha tu hakuna namna.
 
Raha ya gogo ukate sehem ambayo upo comfortable...kama mm napenda kukata gogo nikiwa kwangu huku naperuzi JF

Saa nyingine tunajibu comment wakat tunakunya
[emoji3] [emoji3] sasa ukijibu comment wakati unakunya hayo majibu si yanakuwa so fireeee!?
 
Raha ya gogo ukate sehem ambayo upo comfortable...kama mm napenda kukata gogo nikiwa kwangu huku naperuzi JF

Saa nyingine tunajibu comment wakat tunakunya

cc: Nyani Ngabu

Usasambue Usasambue. ....

Unakumbuka hapo alipatunga wakati gani? Hahahahahahah

Sorry Nokia83 komenti yako imenikumbusha kitu ndo maana nimemuita huyu babu, si ajabu nimekuacha hewani.... Niwie radhi.
 
Kwa nini kuna hulka kwamba mtu akienda msalani kwa long call(ku puuh) hataki mtu mwingine yeyote ajue ?
iwe umekutanana nae atakausha vibaya sana... kuna nini ? kuna mtu ambaye hiyo hali haimtokei ? mbaya zaidi kwa wale wanaoshare vyoo, mfano mazingira ya nyumbani, sehemu kuna wapangaji nk, mtu akienda msalani hufanya timing kubwa sana wakati wa kuingia, na kutoka pia hufanya timing... na ikitokea umemuona anatoka msalani hatakuangalia usoni.....

Sasa itokee, umetoka msalani fasta , mtu nae akaingia humo, utajistukia sana, kuna ile hewa nzito mtu atakumbana nayo bado haijaisha .....

nimewahi kukaa mitaa flani ya ilala, nyumba ya wapangaji.. vyumba vilikuwa sita, vyoo vilikuwa viwili, means vyumba vitatu kwa choo kimoja. pale bachelor nlikuwa peke yangu, na mdada flani hivi mtangazaji kipindi hicho alikuwa hajaolewa, wapangaji wengine wote walikuwa couples na wengine wana familia kabisa...

nyumba ilikuwa kwa mbele hivi, vyoo vipo uwani, kwa mazingira ya pale mda wote palikuwa hapakosekani watu, kuna kipindi kwenda msalani mpaka ufanye timing.. au ile mida ukirud night ukienda kuoga unamaliza kila kitu....long time kidogo

akili za usiku, chichat.
Hyo starehe ya kukata gogo ikizidi sana unaweza kujikuta unatoa chozi la furaha,alafu unakuta linadondoka katika jicho la upande mmoja tu,yani hapo hujapigwa wala hujasikia habari yeyote ya kusikitisha

Ila linatoka chozi fulani hv liki ambatana na kijasho fulani hv chepesi kama ulikuwa unacheza zile nyimbo za taratibu[blue's].....
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenivunja mbavu.
 
ahahah mkuu umenifanya nicheke kwa sauti niko sehemu flani hivi.....jasho fulan jepes plus choz flan ambalo halitaki kutoka....
 
cc: Nyani Ngabu

Usasambue Usasambue. ....

Unakumbuka hapo alipatunga wakati gani? Hahahahahahah

Sorry Nokia83 komenti yako imenikumbusha kitu ndo maana nimemuita huyu babu, si ajabu nimekuacha hewani.... Niwie radhi.

Wanakutamani hao....
 
kasie mahaba...... toa kaushuhuda kadogo basi mamaa....
 
[emoji126][emoji126][emoji126]
af19922a87add5f1615c0f724cc68f73.jpg
 
Raha ya gogo ukate sehem ambayo upo comfortable...kama mm napenda kukata gogo nikiwa kwangu huku naperuzi JF

Saa nyingine tunajibu comment wakat tunakunya
Raha ya gogo ni ulikate ukiwa choo cha BAR
 
Nilipokuwa shuleni boarding mida yangu ilikuwa ni muda wa prepo ya usiku watu wakiwa class mimi ndo nafanya yangu ...raha ya chooni utumie muda unaotaka wewe wala usilazimishwe na mtu kutoka haraka... mimi nakaa chooni dk 10+ sitaki bugudha nikiwa nafanya mambo yangu..
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenivunja mbavu.
Kweli mkuu alafu unakuta kuna mjinga mjinga anakuletea kauzibe anakaa karibu na msalani kama hamna sehemu nyengine za kwenda kukaa

Nikikukuta nakukata makofi maana raha ya kukata gogo uwe na uhuru wa kujiachia maana vinaweza kushuka vitu na milio ya vuvuzela,tarumbeta,mabumu,risasi,yani chochote kinaweza kutokea.
 
Inawezekana huu Uzi umeuandika wakati ukiwa unakun¥@
 
Back
Top Bottom