kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Kwa nini kuna hulka kwamba mtu akienda msalani kwa long call(ku puuh) hataki mtu mwingine yeyote ajue ?
iwe umekutanana nae atakausha vibaya sana... kuna nini ? kuna mtu ambaye hiyo hali haimtokei ? mbaya zaidi kwa wale wanaoshare vyoo, mfano mazingira ya nyumbani, sehemu kuna wapangaji nk, mtu akienda msalani hufanya timing kubwa sana wakati wa kuingia, na kutoka pia hufanya timing... na ikitokea umemuona anatoka msalani hatakuangalia usoni.....
Sasa itokee, umetoka msalani fasta , mtu nae akaingia humo, utajistukia sana, kuna ile hewa nzito mtu atakumbana nayo bado haijaisha .....
nimewahi kukaa mitaa flani ya ilala, nyumba ya wapangaji.. vyumba vilikuwa sita, vyoo vilikuwa viwili, means vyumba vitatu kwa choo kimoja. pale bachelor nlikuwa peke yangu, na mdada flani hivi mtangazaji kipindi hicho alikuwa hajaolewa, wapangaji wengine wote walikuwa couples na wengine wana familia kabisa...
nyumba ilikuwa kwa mbele hivi, vyoo vipo uwani, kwa mazingira ya pale mda wote palikuwa hapakosekani watu, kuna kipindi kwenda msalani mpaka ufanye timing.. au ile mida ukirud night ukienda kuoga unamaliza kila kitu....long time kidogo
akili za usiku, chitchat.