Kujitolea kufanya kazi za watu ni kujishusha thamani

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kwanini usijitolee kufanya kazi zako.
Kwanini usijitolee kutafuta hata madini wewe mwenyewe.
Kwanini usijitolee hata kutoa elimu kwa wengine wewe mwenyewe.
Kwanini usijitolee hata kufundisha wengine wewe mwenyewe.

Mimi baada ya kumaliza chuo nilijitolea mwenyewe kufundisha vijana table teaching.

Nilikataa kujitolea kuwafanyia kazi wengine.
Ni ujinga hulipwi na unabe controlled.
Tambua thamani yako acha kupoteza muda jitolee kwenye kazi zako.
 
Waziri Mkuu Majaliwa amejitolea kufanya kazi za watu na analipwa, Mama Samia anafanya kazi za watu. Sasa tuambie kati yako wewe na hao niliowataja nani ana thamani zaidi?
 
Sio kila kazi ya kujitolea unajishusha thamani, ndio mwanzo wa connection & Networking
 
Mimi ningekuwa na mawazo kama yako kipind nimemalza chuo basi leo ningekuwa nauza juice ya miwa buguruni. Ila kupitia kujitolea kwenye taasisi tena bure ndio nikajenga connection na hatimaye kutoboa kwa kupata ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…