Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao!
Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa na mnyukano wa kimaamuzi uku wengine wakilazimisha mechi iahirishwe na wengine wakitaka mechi ichezwe kulingana na kanuni zinavyoelekeza!
Bodi hii imejivua nguo kuliko siku yoyote Ile kwa maamuzi ya kipumbavu kama Aya.
Uwezi kuahirisha mechi eti kwasababu timu Moja imezuiliwa kufanya mazoezi, kama imezuiliwa ukishathibitisha Kuna kanuni zake za adhabu zimeainishwa kwa mujibu wa Sheria na sio kuahirisha mchezo husika!
Bodi imetengeneza mgogoro mkubwa ambao itawagharimu pakubwa kuuzima, kwakuwa hii kitu itatumiwa kama reference ikija kutokea scenario kama hii na bodi haitokuwa na meno ya kutoa maamuzi kwakuwa washabariki tiyari na imeshaingia kwenye record!
Kuna wajinga Wanakumbushia sakata la yanga kugomea mechi iliyosogezwa muda mbele na tff mwaka 2021 kwamba ni sawa na hii, labda kitu ambacho hawaelewi ni kwamba hata mgomo ule yanga kanuni ilikuwa upande wao ndio maana walifanya walichokifanya na TFF wasingewafanya chochote, kwa maana tff ilitakiwa iwape taarifa ya kusogeza muda wa mechi mbele ndani ya masaa 24 but tff awakufanya hivyo!
Sasa ata hili sakata kanuni Iko upande wa yanga na inawabeba kutocheza mechi yoyote nyingine ya derby na tff awatokuwa na cha kuwafanya kwakuwa bodi itaulizwa ni kanuni ipi wameifata mpaka wakaahirisha mechi ya mwanzo?
Ni Sheria ipi ya fifa inasema timu husika ikizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho basi timu husika inagoma na mechi inaahirishwa?
Mpaka hapo bodi imejing'oa meno yake yenyewe!
Mechi ilitakiwa ichezwe wakati bodi inaendelea kushughulikia malalamiko ya Simba na sio kuahirisha mechi kwasababu ambazo hazina mashiko!
Hii ndio ligi Bora inayoshika nafasi ya 6 Afrika ikiwa na madudu ya ovyo ya namna hii🤔🤔