Kujiuzulu kwa mjumbe wa bodi ya ligi inaonekana bodi hiyo ilifanya maamuzi ya kishabiki zaidi badala ya kanuni na sheria walizoziweka wao!

Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao!
Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa na mnyukano wa kimaamuzi uku wengine wakilazimisha mechi iahirishwe na wengine wakitaka mechi ichezwe kulingana na kanuni zinavyoelekeza!
Bodi hii imejivua nguo kuliko siku yoyote Ile kwa maamuzi ya kipumbavu kama Aya,,
Uwezi kuahirisha mechi eti kwasababu timu Moja imezuiliwa kufanya mazoezi,,kama imezuiliwa ukishathibitisha Kuna kanuni zake za adhabu zimeainishwa kwa mujibu wa Sheria na sio kuahirisha mchezo husika!
Bodi imetengeneza mgogoro mkubwa ambao itawagharimu pakubwa kuuzima,,kwakuwa hii kitu itatumiwa kama reference ikija kutokea scenario kama hii na bodi aitokuwa na meno ya kutoa maamuzi kwakuwa washabariki tiyali na imeshaingia kwenye record!
Kuna wajinga Wanakumbushia sakata la yanga kugomea mechi iliyosogezwa muda mbele na tff mwaka 2021 kwamba ni sawa na hii,,labda kitu ambacho awaelewi ni kwamba ata mgomo ule yanga kanuni ilikuwa upande wao ndio maana walifanya walichokifanya na tff wasingewafanya chochote,,kwa maana tff ilitakiwa iwape taarifa ya kusogeza muda wa mechi mbele ndani ya masaa 24 but tff awakufanya hivyo!
Sasa ata hili sakata kanuni Iko upande wa yanga na inawabeba kutocheza mechi yoyote nyingine ya derby na tff awatokuwa na cha kuwafanya kwakuwa bodi itaulizwa ni kanuni ipi wameifata mpaka wakaahirisha mechi ya mwanzo?
Ni Sheria ipi ya fifa inasema timu husika ikizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho basi timu husika inagoma na mechi inaahirishwa?
Mpaka hapo bodi imejing'oa meno yake yenyewe!
Mechi ilitakiwa ichezwe wakati bodi inaendelea kushughulikia malalamiko ya Simba na sio kuahirisha mechi kwasababu ambazo hazina mashiko!
Hii ndio ligi Bora inayoshika nafasi ya 6 Africa ikiwa na madudu ya ovyo ya namna hii🤔🤔
Wanaleta Siasa,ushabiki wa kipumbavu!Wameumiza sana watu,waliokuja Dar kiangalia live kipute!Nauli,malazi NK.
 
Inasikitisha kuona wahuni wachache wanawasababishia hasara maelfu ya watu na kampuni mbalimbali, kwa sababu zao tu nyepesi, na zisizo na mashiko.
Upo sahihi! Hao WAHUNI uliowataja wasingewazuia Simba kuingia uwanjani, yote haya yasingetokea. Muda huu, watu wangekuwa wanasherehekea USHINDI wa uwanjani!
 
Umeeleza vizuri! Lakini nimepata shida sana na hili andiko jinsi ulivyoandika! Ina maana siku hizi "H" haitumiki tena kwenye Kiswahili? Wasomi wa siku hizi mmekuwa wapumbavu sana na madegree yenu! Inakuwa kwenye "Hata" unaandika "ata?"
Iyo H inakusaidia nini kwenye maisha yako? Andiko linajadili kutokuwepo kwa H kwenye kiswahili au na wewe ni wale wale aliowasema Rage?
 
Bodi ya ligi kwa hili wamepuyanga sana.

Kiutaratibu nilitegemea chombo kilicho juu ya bodi ya ligi kingevunjilia mbali hii bodi.

Kinyume na hapo maamuzi mabaya yaliyofanyika yatatumika kama reference siku za mbele na bodi itakosa nguvu ya kusimamia..

Let say mechi ijayo Yanga wakatengeneza watu wao wenye jezi za Simba wakasema tumekatazwa kuingia kufanya mazoezi na sisi ni wenyeji then wakagoma kucheza mechi mwisho wake utakuwaje ?
 
Upo sahihi! Hao WAHUNI uliowataja wasingewazuia Simba kuingia uwanjani, yote haya yasingetokea. Muda huu, watu wangekuwa wanasherehekea USHINDI wa uwanjani!
Kwaiyo walipowazuia ndio kanuni ikawaruhusu kugomea mechi?
 
Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao!
Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa na mnyukano wa kimaamuzi uku wengine wakilazimisha mechi iahirishwe na wengine wakitaka mechi ichezwe kulingana na kanuni zinavyoelekeza!
Bodi hii imejivua nguo kuliko siku yoyote Ile kwa maamuzi ya kipumbavu kama Aya,,
Uwezi kuahirisha mechi eti kwasababu timu Moja imezuiliwa kufanya mazoezi,,kama imezuiliwa ukishathibitisha Kuna kanuni zake za adhabu zimeainishwa kwa mujibu wa Sheria na sio kuahirisha mchezo husika!
Bodi imetengeneza mgogoro mkubwa ambao itawagharimu pakubwa kuuzima,,kwakuwa hii kitu itatumiwa kama reference ikija kutokea scenario kama hii na bodi aitokuwa na meno ya kutoa maamuzi kwakuwa washabariki tiyali na imeshaingia kwenye record!
Kuna wajinga Wanakumbushia sakata la yanga kugomea mechi iliyosogezwa muda mbele na tff mwaka 2021 kwamba ni sawa na hii,,labda kitu ambacho awaelewi ni kwamba ata mgomo ule yanga kanuni ilikuwa upande wao ndio maana walifanya walichokifanya na tff wasingewafanya chochote,,kwa maana tff ilitakiwa iwape taarifa ya kusogeza muda wa mechi mbele ndani ya masaa 24 but tff awakufanya hivyo!
Sasa ata hili sakata kanuni Iko upande wa yanga na inawabeba kutocheza mechi yoyote nyingine ya derby na tff awatokuwa na cha kuwafanya kwakuwa bodi itaulizwa ni kanuni ipi wameifata mpaka wakaahirisha mechi ya mwanzo?
Ni Sheria ipi ya fifa inasema timu husika ikizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho basi timu husika inagoma na mechi inaahirishwa?
Mpaka hapo bodi imejing'oa meno yake yenyewe!
Mechi ilitakiwa ichezwe wakati bodi inaendelea kushughulikia malalamiko ya Simba na sio kuahirisha mechi kwasababu ambazo hazina mashiko!
Hii ndio ligi Bora inayoshika nafasi ya 6 Africa ikiwa na madudu ya ovyo ya namna hii🤔🤔
Jamaa kajivua nafasi zote alizokuwa nazo kwenye maswala ya mpira wa miguu.
 
Hawa BODI n wasengee mkuuu wako pale kula pesa za fiffa wapuuzi kabisa wanaaribu soka LETU WAKIONGOZWA na mwenyekiti WA BODI na wenziee wale n washenzi Rwanda wangekuwa wanasimama MAHAKAMAN jtatu
Wote wale ni mapenzi wa Makolo. Mzee Mnguto pamoja na Almas wote wale Simba! Wamejivunjia heshima sana aisee! Hawatakaa waheshimiwe na hizi timu tena!
 
Huo ni uzushi mjube Philemon hajajiuzulu na amesikika live leo akikanusha huo uzushi wa yeye kujiuzulu maana haoni sababu yoyote ya kujiuzulu
Philemon ni mshauri wa rais wa TFF na anaendelea na jukumu hilo na bado yupo kwenye kamati
 
Mfano uliambiwa umtaje hata baunsa mmoja au picha yake unaweza, msiwaamini viongozi wa simba hamna kitu pale.
Bodi wamesema simba walizuiliwa kwa kuwa hawakutoa taarifa ila wao wanaamini Yanga ndo wamezuia, jiongeze basi
Una uhakika umeisoma barua ya bodi ya ligi na hujaona walipotajwa walinzi wa yanga? Au na wewe unacomment kupitia maneno ya wachambuzi waliosoma?
 
Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao!

Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa na mnyukano wa kimaamuzi uku wengine wakilazimisha mechi iahirishwe na wengine wakitaka mechi ichezwe kulingana na kanuni zinavyoelekeza!

Bodi hii imejivua nguo kuliko siku yoyote Ile kwa maamuzi ya kipumbavu kama Aya.

Uwezi kuahirisha mechi eti kwasababu timu Moja imezuiliwa kufanya mazoezi, kama imezuiliwa ukishathibitisha Kuna kanuni zake za adhabu zimeainishwa kwa mujibu wa Sheria na sio kuahirisha mchezo husika!

Bodi imetengeneza mgogoro mkubwa ambao itawagharimu pakubwa kuuzima, kwakuwa hii kitu itatumiwa kama reference ikija kutokea scenario kama hii na bodi haitokuwa na meno ya kutoa maamuzi kwakuwa washabariki tiyari na imeshaingia kwenye record!

Kuna wajinga Wanakumbushia sakata la yanga kugomea mechi iliyosogezwa muda mbele na tff mwaka 2021 kwamba ni sawa na hii, labda kitu ambacho hawaelewi ni kwamba hata mgomo ule yanga kanuni ilikuwa upande wao ndio maana walifanya walichokifanya na TFF wasingewafanya chochote, kwa maana tff ilitakiwa iwape taarifa ya kusogeza muda wa mechi mbele ndani ya masaa 24 but tff awakufanya hivyo!

Sasa ata hili sakata kanuni Iko upande wa yanga na inawabeba kutocheza mechi yoyote nyingine ya derby na tff awatokuwa na cha kuwafanya kwakuwa bodi itaulizwa ni kanuni ipi wameifata mpaka wakaahirisha mechi ya mwanzo?

Ni Sheria ipi ya fifa inasema timu husika ikizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho basi timu husika inagoma na mechi inaahirishwa?

Mpaka hapo bodi imejing'oa meno yake yenyewe!

Mechi ilitakiwa ichezwe wakati bodi inaendelea kushughulikia malalamiko ya Simba na sio kuahirisha mechi kwasababu ambazo hazina mashiko!

Hii ndio ligi Bora inayoshika nafasi ya 6 Afrika ikiwa na madudu ya ovyo ya namna hi
Utopolo mtupu!
 
Inawezekana ukawa una point, ila umejadili kama mwana yanga typical.
Kwahiyo na wewe bado ni mihemko tu inakusumbua.

Mimi siamini ulichokisema kuwa bodi imejaa wajumbe wafuasi wa simba.

Inawezekana kabisa kua busara iliamua haya (sio lazima busara iwe sahihi)

Mechi isingeahirishwa, simba asilete timu, ikiwa hakuna sababu ya msingi, adhabu ni pamoja na kushushwa daraja. Jadili na hilo kidogo kwa maslahi mapana ya soka.
Tumsaidie tu mleta mada, nikuwa Mjumbe Ndugu Filmoni ni Yanga damu na aliwahi kuwa Mjumbe wa kamati za Yangae kujitoa ktk hili hatushangai
 
Na mbumbumbu ni wangapi kijana wa mangungu? Unakenua kwa upuuzi mliofanya,,mnakimbia mechi kienyeji ovyo kabisa
Simba walipiga biti, ila wangeenda. Kabla ya muda wa mechi, TFF wakaahirisha mechi
 
Unasema busara iliamua na Simba isingeleta timu ingeshushwa daraja kumbe unajua kanuni zinasemaje isipokuwa unajificha kwenye kichaka cha busara?
Kumbe bodi walitakiwa wasimamie kanuni zao na sio busara ili kuvinyoosha hivi vilabu kwakuwa Mpira wetu unadumazwa na tff kwa kuvidekeza hivi vilabu viwili vinapofanya upuuzi awakutakiwa kucheka na kima kama kushushwa wangeshushwa kama Italia walivyofanya kuishusha timu kubwa na FA yao aichezewi ovyo ovyo mpaka sasa Kuna usawa!
Kwa hiyo mihemko huwezikua kiongozi
 
Waengee wakubwa walee washenzi wakubwa wapumbavu wakubwa BODI na raisis wao
Mahanithi WATUPU kuanzia mwenyekiti Katibu wake
 
Back
Top Bottom