Kujiuzulu kwa mjumbe wa bodi ya ligi inaonekana bodi hiyo ilifanya maamuzi ya kishabiki zaidi badala ya kanuni na sheria walizoziweka wao!

Wanaleta Siasa,ushabiki wa kipumbavu!Wameumiza sana watu,waliokuja Dar kiangalia live kipute!Nauli,malazi NK.
 
Inasikitisha kuona wahuni wachache wanawasababishia hasara maelfu ya watu na kampuni mbalimbali, kwa sababu zao tu nyepesi, na zisizo na mashiko.
Upo sahihi! Hao WAHUNI uliowataja wasingewazuia Simba kuingia uwanjani, yote haya yasingetokea. Muda huu, watu wangekuwa wanasherehekea USHINDI wa uwanjani!
 
Umeeleza vizuri! Lakini nimepata shida sana na hili andiko jinsi ulivyoandika! Ina maana siku hizi "H" haitumiki tena kwenye Kiswahili? Wasomi wa siku hizi mmekuwa wapumbavu sana na madegree yenu! Inakuwa kwenye "Hata" unaandika "ata?"
Iyo H inakusaidia nini kwenye maisha yako? Andiko linajadili kutokuwepo kwa H kwenye kiswahili au na wewe ni wale wale aliowasema Rage?
 
Bodi ya ligi kwa hili wamepuyanga sana.

Kiutaratibu nilitegemea chombo kilicho juu ya bodi ya ligi kingevunjilia mbali hii bodi.

Kinyume na hapo maamuzi mabaya yaliyofanyika yatatumika kama reference siku za mbele na bodi itakosa nguvu ya kusimamia..

Let say mechi ijayo Yanga wakatengeneza watu wao wenye jezi za Simba wakasema tumekatazwa kuingia kufanya mazoezi na sisi ni wenyeji then wakagoma kucheza mechi mwisho wake utakuwaje ?
 
Upo sahihi! Hao WAHUNI uliowataja wasingewazuia Simba kuingia uwanjani, yote haya yasingetokea. Muda huu, watu wangekuwa wanasherehekea USHINDI wa uwanjani!
Kwaiyo walipowazuia ndio kanuni ikawaruhusu kugomea mechi?
 
Jamaa kajivua nafasi zote alizokuwa nazo kwenye maswala ya mpira wa miguu.
 
Hawa BODI n wasengee mkuuu wako pale kula pesa za fiffa wapuuzi kabisa wanaaribu soka LETU WAKIONGOZWA na mwenyekiti WA BODI na wenziee wale n washenzi Rwanda wangekuwa wanasimama MAHAKAMAN jtatu
Wote wale ni mapenzi wa Makolo. Mzee Mnguto pamoja na Almas wote wale Simba! Wamejivunjia heshima sana aisee! Hawatakaa waheshimiwe na hizi timu tena!
 
Huo ni uzushi mjube Philemon hajajiuzulu na amesikika live leo akikanusha huo uzushi wa yeye kujiuzulu maana haoni sababu yoyote ya kujiuzulu
Philemon ni mshauri wa rais wa TFF na anaendelea na jukumu hilo na bado yupo kwenye kamati
 
Mfano uliambiwa umtaje hata baunsa mmoja au picha yake unaweza, msiwaamini viongozi wa simba hamna kitu pale.
Bodi wamesema simba walizuiliwa kwa kuwa hawakutoa taarifa ila wao wanaamini Yanga ndo wamezuia, jiongeze basi
Una uhakika umeisoma barua ya bodi ya ligi na hujaona walipotajwa walinzi wa yanga? Au na wewe unacomment kupitia maneno ya wachambuzi waliosoma?
 
Utopolo mtupu!
 
Tumsaidie tu mleta mada, nikuwa Mjumbe Ndugu Filmoni ni Yanga damu na aliwahi kuwa Mjumbe wa kamati za Yangae kujitoa ktk hili hatushangai
 
Na mbumbumbu ni wangapi kijana wa mangungu? Unakenua kwa upuuzi mliofanya,,mnakimbia mechi kienyeji ovyo kabisa
Simba walipiga biti, ila wangeenda. Kabla ya muda wa mechi, TFF wakaahirisha mechi
 
Kwa hiyo mihemko huwezikua kiongozi
 
Waengee wakubwa walee washenzi wakubwa wapumbavu wakubwa BODI na raisis wao
Mahanithi WATUPU kuanzia mwenyekiti Katibu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…