Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

Taratibu dishi limeanza kukukaa sawa.
 
Change ni sawa yuko Bright lakini hana maadili ya uongozi pia kama nchi ingekua inafata sheria huyu angekua JELA .Sasa utampaje mwizi wa Mali za umma kuwa mkuu wa mhimili wa Bunge?Kwa hali hii nchi yetu Ina safari ndefu Sana.Au ni kwa Sababu viongozi wote wa CCM ni wezi ndo Maana mnamtaka Chenge?
 

Hujasema nini yako matarajio kwa huyo ^Spika Bora.^ JYN was very good pale mwishoni until he repented his own true words. Nadhani alitishwa kwamba ^Ukitubu utasamehewa, na marupurupu yako utaendelea kupata.^
 
^Hata kwenye chama changu cha Sisiemu pia yamo majizi!^~ alisikika mzalendo mmoja.
 
Unategemea CCCM wakuletee , spika bora... .
Wenda kama katiba tuliyonayo imewachosha .

Spika ambaye hataruusu mchakato wa katiba mpya..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ndugai hakuwa na maadili, alimtandika mgombea mwezake bakora
 
Hatimaye Ndugai ameingia kwenye 18 zako baada ya kukusotesha kwa miaka mitano😀
 
Kuna dalili njema ya Tanzania kupata Spika Bora.
Kati ya Wagombea watatu waliopitishwa na CCM, kuna Spika Bora, Bora Spika na mtu neutral.
let's put our fingers crossed wabunge wa CCM, watuchagulie Spika Bora.
P
 
Kwenye Bunge la CCM lilowekwa Na Magufuli? Huko upate spika ?
 
Wewe KILA mtu anayetuliwa unamsifia na kumpamba! Unalenga kufanikisha nini?
Mkuu Yoda, jee ulifanikiwa kusoma makala zangu kumtafuta mteule huyu?.
P
 
Je, wajua kuwa kitendo cha kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika, Mhe. Job Yustino Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili taifa letu Tanzania, tuachane na "Bora Spika" na badala yake tupate "Spika Bora".
Paskali.
Dr. Tulia kaanza kuonyesha ni Spika Bora, kwa Bunge kuanza kuisimamia Serikali
 
Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…