Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Well said mkuu. NotedHivi hatuwezi kujibu hoja bila kuzodoana? Yaani Watanzania wote tumegeuzwa kuwa wanasiasa! Unaweza kujibu hoja vizuri tu na kisha kutuachia wasomaji tutafakari bila kushinikizwa na maneno mengineyo yasiyo ya lazima.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa serikali ambayo ilimfukuza Mwele Malecela kisa katangaza matokeo ya kazi yake ya utafiti, Zito ana kila haki ya kusema aliyoyasema. Na si ajabu wamebadilisha baada ya ukelele wa Zitto!Zitto amekurupuka tena kama ilivyokuwa kwa ziara ya Rais Kusini mwa Tanzania, pale alipoibuka na mapambio ya VP.
Safari hii kakurupuka na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete pale Muhimbili (MNH). Baada ya ile barua ya kukabidhi majukumu, Zitto kama kawaida yake kakurupuka kuaminisha umma mkuu wa Taasisi ya Moyo JK pale MNH ameachishwa au kaacha kazi.
Ieleweke kuwa Janabi mkurugenzi Mtendaji (Executive Director) wa taasisi ya Moyo JK. Sasa kaweka wasaidizi baada ya kuanzisha idara mbili ambazo zitaongozwa na wakurugenzi wawili kama wakuu wa idara hizo (Deprtmental Directors).
Kilichoandikwa kwenye ile barua (Notice) ni kuwa Janabi atakabidhi majukumu kwa wakurugenzi hao. Ieleweke kuwa awali na kabla ya Notice hii yeye Janabi alikuwa akisimamia majukumu yote, lakini baada ya hii Notice atabaki kuwa mkurugenzi Mtendaji akiacha shughuli za kila siku kusimamiwa na wasaidizi wake.
Hii pia inadhihirisha kuongezeka kwa majukumu katika taasisi hii hivyo kubadili mfumo wa usimamizi kuongeza ufanisi hakuepukiki.
Zitto acha utoto, watanzania wanauelewa zaidi yako.
BTW wewe ni wa kupuuzwa tu maana ndio siasa zenu za matukio na kukosoa mitandaoni badala ya sera na kuelemisha watu kujiletea maendeleo.
Hakika bwashee!Uzushi bhana unajibiwagwa kwa vitendo
Hahahaaaa....... Unaweza usimtake yeye ila ukaitaka taaluma yake bwashee!Vijana wa Lumumba kwa uzushi tushawazoea./ wao awapitwi na jambo/ sasa Jana walizusha uongo kuwa mzee kachapishwa mwendo.
Nilisema jana kuwa huo ni uongo huyo Jon Mrema aliyezusha uongo huo nafikiri uelewa wake ni mdogo sana katika mambo ya kiutawala anaona Memo yeye anafikiri ni barua ya kujihudhuru!Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya moyo ya Jakaya Kikwete ( JKCI) Prof Janabi ambaye jana alixushiwa kuwa amefukuzwa kazi leo ameonekana hospitalini hapo akiendelea na majukumu yake kama kawaida.
Source : Ayo tv
Okay Jon Mrema na Zitto ni vijana wa Lumumba siku hizi? Mmmmmmh!!Vijana wa Lumumba kwa uzushi tushawazoea./ wao awapitwi na jambo/ sasa Jana walizusha uongo kuwa mzee kachapishwa mwendo.
Did you read the contents of that Handing Over Note? It seems your extremely idiot when comes to administrative issues!!Tatizo ni hili:
A hand over note is a report that gives a summary of the activities carried out in an office or a position. It is a document that an employee who is about to leave his or her position, temporarily or permanently, writes to serve as a guide to a successor so that the workflow is not affected.
Kwa wenye kuelewa , naomba nikupongeze.Tatizo ni hili:
A hand over note is a report that gives a summary of the activities carried out in an office or a position. It is a document that an employee who is about to leave his or her position, temporarily or permanently, writes to serve as a guide to a successor so that the workflow is not affected.