Kujiuzulu sio suluhisho la changamoto ndani ya dhamana ulopewa kuisimama kwa niaba ya umma

Huwa unatoa wapi hivi VICHEKESHO??
 
Ongezea na hii: Kujiuzulu bila sababu za msingi mfano kutokana na kuzushiwa tuhuma za uongo au chuki binafsi kutoka kwa watu wachache miongoni mwa wale unaowaongoza, ni kuwanyima haki wale wengi unaowaongoza na wanaokukubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…