princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
"Utu" unaozungmzia mkuu unaousema ndio huu ambao umemtoa muheshimishiwa fulani kutoka cdm kwenda "ciciemu" au?? Au "utu" Huu ndo unaowatoa watangazaji toka kituo cha habari kimoja kwenda kingine? Mkuu naomba nielewesheuna miaka mingapi??maana siku ukikua utaelewa kwamba kinachokutanisha watu ni utu wenu sio viambatanisho vyenu.
ukipendwa au kukaribiwa sababu ya nguo,gari,kazi,simu,cheo kaa kimkakati hujafatwa wewe hapo.
hasa mwanamke ndio kabisaa usifanye hilo kosa la kumshawishi kwa vitu,fanya uwezavyo akupokee kirundu kama kirundu ulivyo,ucheshi wako,ukauzu wako,uchangamfu wako,ukarimu wako nk maana hivyo vitu huyo ndio wewe.hutabadilika.
una miaka mingapi??maana siku ukikua utaelewa kwamba kinachokutanisha watu ni utu wenu sio viambatanisho vyenu.
ukipendwa au kukaribiwa sababu ya nguo,gari,kazi,simu,cheo kaa kimkakati hujafatwa wewe hapo.
hasa mwanamke ndio kabisaa usifanye hilo kosa la kumshawishi kwa vitu,fanya uwezavyo akupokee kirundu kama kirundu ulivyo,ucheshi wako,ukauzu wako,uchangamfu wako,ukarimu wako nk maana hivyo vitu huyo ndio wewe.hutabadilika.
Low profile au low key haipo hivyo Kama unavyoandika hapa.
Ulichokuwa unafanya wewe sio low profile au low key Ila ni commoner yaani unavaa na kuishi Kama MTU wa kawaida.
Ila low profile -ni Kama unavyomuona Mgwana samatta
Kuwa low profile na kuwa commoner ni tofauti kabisa
Lugha nyingine ya low profile ni humbleness .
So akichoandika Robert Heriel Mtibeli haukumuelewa
Nilimuelewa sana Ila "ni hivi mkuu watanzania au Ata elsewhere ukionekana unahadhi fulani mambo yako ynakubaliwa na yanafanyiwa kazi chapu! Yan uhangaiki mzee tofauti na kujiweka" kingumbalu"Low profile au low key haipo hivyo Kama unavyoandika hapa.
Ulichokuwa unafanya wewe sio low profile au low key Ila ni commoner yaani unavaa na kuishi Kama MTU wa kawaida.
Ila low profile -ni Kama unavyomuona Mgwana samatta
Kuwa low profile na kuwa commoner ni tofauti kabisa
Lugha nyingine ya low profile ni humbleness .
So akichoandika Robert Heriel Mtibeli haukumuelewa
Low profile au low key haipo hivyo Kama unavyoandika hapa.
Ulichokuwa unafanya wewe sio low profile au low key Ila ni commoner yaani unavaa na kuishi Kama MTU wa kawaida.
Ila low profile -ni Kama unavyomuona Mgwana samatta
Kuwa low profile na kuwa commoner ni tofauti kabisa
Lugha nyingine ya low profile ni humbleness .
So akichoandika Robert Heriel Mtibeli haukumuelewa
hapana hapo hamna utu,kwenye fulsa au utafutaji ni maslahi kwanza.ndio maana hatuwezi laumu mtu kuhama wasafu kwenda Afm kisa hela."Utu" unaozungmzia mkuu unaousema ndio huu ambao umemtoa muheshimishiwa fulani kutoka cdm kwenda "ciciemu" au?? Au "utu" Huu ndo unaowatoa watangazaji toka kituo cha habari kimoja kwenda kingine? Mkuu naomba nieleweshe
Zote! Ina uhusiano gani na uandishi wako mbovu? Kwanza wee mwenyewe mchumba,huyo uliyemkosa labda alikua mke mwenza!We ni jinsia Gani kwanza kabla sijajibu?
😂Umekula kwanza mkuuKumbe philomena ni jina la kiume ..nme mkumbuka philoo... dada mkuu wa primary
Sarcasm
Zote! Ina uhusiano gani na uandishi wako mbovu? Kwanza wee mwenyewe mchumba,huyo uliyemkosa labda alikua mke mwenza!
Okay IQ yako iko Sawa na ulichojibu una akili ya "gpA ya 1.9"Zote! Ina uhusiano gani na uandishi wako mbovu? Kwanza wee mwenyewe mchumba,huyo uliyemkosa labda alikua mke mwenza!
Wewe una ya 5 ,what's difference wakati hata irabu ya kiswahili inakupiga chenga. Endelea kuwaza chupi tu naninaaOkay IQ yako iko Sawa na ulichojibu una akili ya "gpA ya 1.9"
Hakuna tusi jipya mkuu matusi kama maji tu '"nanina" Kitu gani ongea straight muoga muoga weweWewe una ya 5 ,what's difference wakati hata irabu ya kiswahili inakupiga chenga. Endelea kuwaza chupi tu naninaa
Wewe una ya 5 ,what's difference wakati hata irabu ya kiswahili inakupiga chenga. Endelea kuwaza chupi tu nanina
Ukisikia ukoswe, kuhemea n.k. Ujue ni Kanda ya ziwaMwishoni lugha gongano. Ukoswe hela, ukwose mikwara! Kizazi hiki cha watoto mlozaliwa wazazi wanakunywa K vant
Changamoto ya multiple IDs hupelekea mtu kuchanganya madesa, sehemu ya kuflow kiume anajikuta ametumia ID ya demu na sehemu kuongea kidemu unakuta katumia ID ya kiumePhilomena kwetu ni jina la kike