Kujua yatakayotokea 2025 nchini huitaji uwe nabii

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Kawaida kila baada ya miaka kumi yani awamu mbili kupita basi chama tawala tunachagua mgombea Mpya katika kiti cha Urais baada ya kutuongoza kwa awamu mbili.

Aliyekalia kiti cha urais akifanya jambo lolote ovu basi adhabu lazima apewe atakayefata kukalia kiti.

Nakupa mfano mmoja, Daudi alipigwa na Mungu na kula adhabu kwa Makosa yaliyofanywa na Mfalme wa kwanza wa Israel ambaye ni Sauli.
(Kanuni za ulimwengu wa roho) hututawala.

Yaliyotokea 2015 nchini Tanzania.. Yanakwenda kujirudia Kwa ukubwa wake 2025.

Kiti narudia tena Kiti lazima kichukue adhabu ya yale yaliyotendeka msimu uliopita.

Ni matukio gani.. siwezi kuyataja yote.

Zipo damu nyingi zilimwagika, na kufatia kifo cha rais madarakani, damu inanena na Ulimwengu wa roho lazima upitishe haki ya hukumu.

Usione kama Watumishi wa kiroho wapo kuwatisha Watanzania, ndio hali harisi ya mambo.
 
Ni kweli huhitaji kuwa nabii na huhitaji kuwa na D hata moja. Kuelekea octoba na baada ya uchaguzi hali si nzuri kwenye siasa za nchi, uchaguzi tu wenyewe hautafanyika kama kawaida, itakuwa ni uchaguzi wa ajabu zaidi kuwahi kutokea. idadi ya watakaojitokeza kupiga kura itashuka sana. Vyama vitakavyoshiriki vitasindikiza tu walau vipate mbunge mmoja wawili watatu basi tu vitashiriki walau vije kupata ruzuku kama vitapewa wabunge kuhalalisha uchaguzi uonekane ulikuwa huru na haki
 
Kawaida kila baada ya miaka kumi yani awamu mbili kupita basi chama tawala tunachagua mgombea Mpya katika kiti cha Urais baada ya kutuongoza kwa awamu mbili.

Aliyekalia kiti cha urais akifanya jambo lolote ovu basi adhabu lazima apewe atakayefata kukalia kiti.

Nakupa mfano mmoja, Daudi alipigwa na Mungu na kula adhabu kwa Makosa yaliyofanywa na Mfalme wa kwanza wa Israel ambaye ni Sauli.
(Kanuni za ulimwengu wa roho) hututawala.

Yaliyotokea 2015 nchini Tanzania.. Yanakwenda kujirudia Kwa ukubwa wake 2025.

Kiti narudia tena Kiti lazima kichukue adhabu ya yale yaliyotendeka msimu uliopita.

Ni matukio gani.. siwezi kuyataja yote.

Zipo damu nyingi zilimwagika, na kufatia kifo cha rais madarakani, damu inanena na Ulimwengu wa roho lazima upitishe haki ya hukumu.

Usione kama Watumishi wa kiroho wapo kuwatisha Watanzania, ndio hali harisi ya mambo.
1748979006705.jpeg
 
Back
Top Bottom