Kujulikana ni raha au karaha?

Kujulikana ni karaha, ningeweza ningekua nakaa katikati ya msitu mwenyewe. Sema mfumo wa maisha ndo ivio tena
 
hilo nalo neno mkuu kabisa mambo ya mtu simjui halafu ajipendekeza
 
Kujulikana ni karaha, ningeweza ningekua nakaa katikati ya msitu mwenyewe. Sema mfumo wa maisha ndo ivio tena
yaani karaha sana sema hakuna jinsi inabidi kujichanganya tu hivyohivyo
 
wewe uko ulaya mambo ya MPARANGE umeyajua wapi jamani khaaaaaaaa🀣🀣🀣🀣
Jasiri aachi asili yakeπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ulaya hiyo kwio
 
Kujulikana bila pesa ni mateso
 
kujulikana kuna raha zake maana kuna sehemu zingine hata kama hujafanya kitu wewe waonekana umefanya yaani acheni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…