Kujulikana ni raha au karaha?

Kujulikana ni raha au karaha?

Kujulikana ni karaha, ningeweza ningekua nakaa katikati ya msitu mwenyewe. Sema mfumo wa maisha ndo ivio tena
 
Kujulikana kubaya ni kule ambako watu wengi wanakujua alafu wewe huwajui na hujawahi kukutana nao kabisa.

Mfano kujiposti mitandaoni wanaokuona na kukujua wapo wengi kuliko ambao hawakujui,hivyo kujulikana huku ni upuuzi kwa sababu unaweza kutaka kufanya mishe zako kwa kificho kumbe kuna watu wanakujua ila wewe huwajui wanakuona.

Ila ukiwa kazini bila shaka watakaokujua na wewe utawajuaa kwa sababu utakuwa unaonana nao na kuna miamala mtakuwa mnafanya ya kimaisha,huku hakuna shida kabisa.

Mimi sipendi kabisa mtu ambaye simjui sijawahi kumuona wala kukutana nae na wala shusiani nae chochote katika nyanja ya kimaisha basi sitaki aanijue mtu huyo.

Huko ndio kujulikana kwa karaha.
hilo nalo neno mkuu kabisa mambo ya mtu simjui halafu ajipendekeza
 
kujulikana kuna raha zake maana kuna sehemu zingine hata kama hujafanya kitu wewe waonekana umefanya yaani acheni tu
 
Back
Top Bottom