Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

Kijijini kuna pesa kama una akili ..mimi nki ishiwa pesa sana huwa naenda kijijini uko ,nakua Rais wao kwa mda .nawapiga pesa kwanza afu narejea mjini


MJINI MIPANGO MSHA AMBIWA KILA MTU ALE KWA UREFU WAKE NA MJI AJIRI
 
Inategemea na udumavu wa akili yako kwenye kujitafuta kimaisha na vijiji ! Vijijini mbona fursa kibao tu na kuna watu wanatoboa maisha vizuri tu na Kuna vijiji vimechanhamka pia

Cc Smart911
 
Bora umesema ukweli,nikiwahi kukaa Kwa mda mjiwmema kigamboni aisee Kuna watu wanaishi Kwa kuunga unha sana nyumba mbovu Ile mbaya ila ukimwambia aende kijijin hataki but ukoangalia life yake hata mie wa kijijin hanifikii hata nusu ya mali nilizonazo
Nimekaa jiji moja hapa nchini miaka 16, ni kazi za ofisini tu zilizoniokoa kimaisha, sasa niko kijijin 100% mpaka nalaum mbona nilichelewa kwenda huko. Ninafanya vizuri zaidi na bado kazi ofisini huko mjini nafanya vema tu. Mjini sio pa kukimbilia kama huna shughuli maridhawa, utaishia kuishi kwa stress tu
 
Ila ukikaa kijijini kwa ujanja utawakamua na kidogo walicho nacho mpaka unakuwa tajiri. Unawaacha tu wakishangaa, ukiitwa mchawi poa, usiangalie makunyanzi.
 
Kuna faida na hasara za kukaa kijijini, ukikaa kijanja kijijini unapiga hela hata kwa Ponzi schemeπŸ˜€πŸ˜€
 
Uzi mzuri sana ndugu yangu. Ila nakudai kitu kimoja. Kitu simpo sana. Siku moja uandae uzi kuhusu madhara ya mjini pia, especially kwa mtu ambaye hana hela.
 
You
Nimefanya kazi vijiji vya Tabora,Singida Aisee vijana wanalewa sana vipombe vinaitwa ambulance ni kama visungura...kifupi wamechoka,unaweza mwambia Mtu Shikamoo kumbe umemzidi miaka 9πŸ™†
Mkuu umesahau na mkoa wangu pia Manyara, macharlee wakiivisha vitunguu ni shida hizo Jogoo wanakunywa Kama maji
 
Kijijini kwa kuwa wengi hawana mwanga wa elimu, kaa pale na elimu yako ili uwaangazie, utafute udhaifu wao kibiashara, anza biashara inayolingana na uwezo wao, pole pole, mwisho utatoboa. Ninaongea kwa kuwa nimeshuhudia jamaa na degree yake ametulia kijijini na mambo yake ni supa.
 
Sio kweli, ukikaa kwa malengo unatoboa, mimi naisho dar ila ilotokea kipindi flano nilaenda masasi nikavutiwa na kilimo cha korosho nikanunua hekari 10 zenye mikorosho tayari, kula msimu napata si chini ya 18m. Nashangaa vijana wa kusini wamejazana mbagala na wanaishia kwa shida wakati wana mashamba huko kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…