Kukaa Mjini sio lazima

Kukaa Mjini sio lazima

Pasta Joshua

Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
14
Reaction score
110
Ukiona mambo hayaendi Mjini, rudi kijijini ukajipange upya.

Wakati ukiendelea kupambana na online hustles, kumbuka kuwa na vitu vingine vi2 au zaidi utakavyofanya kujipatia kipato kama online pakiwa pakavu.

Najua utakataa, ila kijijini unasave sana matumizi ya pesa na unapata muda mzuri wa kufikiria kwa utulivu.

Hakikisha unaendelea kustay online, ili ikitokea nafasi unaikimbiza pia. Usiipuuzie kabisa.

Kama wahenga walivyosema "Ukitaka Mali, Utaipata shambani"

Hii kitu nimechelewa kuifahamu, ila inamatokeo mazuri sana na most people wanaifanya ila hutakuja kusikia wakikushauri hivi.

Jaribu hii, hata kama hutaenda kijijini. Unaweza kujaribu hata kutoka nje ya mji, kisha utajionea mwenyewe 🫵
 
Back
Top Bottom