Kukaa nyumba Ambayo kuna wapangaji wengi hasa wanawake ni kero

Kukaa nyumba Ambayo kuna wapangaji wengi hasa wanawake ni kero

wanaboa wana trend ya kugeuza ngazi za chooni kua kijiwe cha story

Kwanini ujibane kunya huku unasogeza sogeza ndoo ili wasikusikie hao wanawake wanaosukana nywele kwny ngazi za chooni hapo?Ingia chooni jamba kwa nguvu,harisha uparato mpk ukitoka hapo wanakubali mziki na next time wakikuona unaingia chooni wanahama kukaa mitaa ya hapo chooni.
 
Raha ya kupanga uwe umezungukwa na wapanagaji wa kiume aisee utaenjoy saana.
 
Kwanini ujibane kunya huku unasogeza sogeza ndoo ili wasikusikie hao wanawake wanaosukana nywele kwny ngazi za chooni hapo?Ingia chooni jamba kwa nguvu,harisha uparato mpk ukitoka hapo wanakubali mziki na next time wakikuona unaingia chooni wanahama kukaa mitaa ya hapo chooni.
daaah ,nimecheka kwa nguvu sanaaa....mwaka 2013 ndo ziilikuwa zangu hizi ,unaingia chooni nje kuna kikundi cha wadada 10 hv.....naingia chooni ni mwendo wa kusohezasogeza ndoo kila mara ......
nakosa adi aman[emoji23]
 
😄😄😄 Pole kwa kujibana bana mkuu mwishowe upate matatizo ya tumbo bure mkuu.
 
Sipendagi ujinga walikuwa watu wa hila hila flani hivi na shule ndogo bana hata nikiamka kwenda kazini shida mara umevaa vile mara kile in short vurugu tupu
Mkuu si kwa ubaya kbs, nimefatilia mara nyingi the way unavyo comment kwa post nyingi sana, nahisi utakuwa mtu mwenye kaliba na tabia hizi ingawa me sy mtabiri[emoji2][emoji28]:
- wewe mtu unaejipenda mwenyewe zaidi
-unapenda kuvaa vzr na unapenda maisha mazuri.
  • Unapenda sana drama movies haswa zile za Tyler Perry.
  • Unapenda kuangalia mambo kama ya Kim Kardashian
  • katika maongezi yako lazima uchomekee ngeli.
-unapenda fln hv luxury yaani yale mambo ya kwenda KFC, mlimani city, Pizza hut etc.
- Hupendi kushindwa
 
Back
Top Bottom