wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
wanaboa wana trend ya kugeuza ngazi za chooni kua kijiwe cha story
daaah ,nimecheka kwa nguvu sanaaa....mwaka 2013 ndo ziilikuwa zangu hizi ,unaingia chooni nje kuna kikundi cha wadada 10 hv.....naingia chooni ni mwendo wa kusohezasogeza ndoo kila mara ......Kwanini ujibane kunya huku unasogeza sogeza ndoo ili wasikusikie hao wanawake wanaosukana nywele kwny ngazi za chooni hapo?Ingia chooni jamba kwa nguvu,harisha uparato mpk ukitoka hapo wanakubali mziki na next time wakikuona unaingia chooni wanahama kukaa mitaa ya hapo chooni.
πππ Pole kwa kujibana bana mkuu mwishowe upate matatizo ya tumbo bure mkuu.daaah ,nimecheka kwa nguvu sanaaa....mwaka 2013 ndo ziilikuwa zangu hizi ,unaingia chooni nje kuna kikundi cha wadada 10 hv.....naingia chooni ni mwendo wa kusohezasogeza ndoo kila mara ......
nakosa adi aman[emoji23]
Hahahahah, we jamaaaaa!!Unaenda chooni na redio ya "ze blutus diwais" ya sundar ya kuchaji unapiga mziki mkubwa kwelikweli huku unashusha mizigo yako bila wasiwasi.
Mkuu si kwa ubaya kbs, nimefatilia mara nyingi the way unavyo comment kwa post nyingi sana, nahisi utakuwa mtu mwenye kaliba na tabia hizi ingawa me sy mtabiri[emoji2][emoji28]:Sipendagi ujinga walikuwa watu wa hila hila flani hivi na shule ndogo bana hata nikiamka kwenda kazini shida mara umevaa vile mara kile in short vurugu tupu