fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Kila njia nafanya lakini nashindwa kukaanga mayai,kila nikijaribu yanavurugika,je nitumie mbinu gani nifanikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤨, una umri gani?Kila njia nafanya lakini nashindwa kukaanga mayai,kila nikijaribu yanavurugika,je nitumie mbinu gani nifanikiwe
Kweli we Ni fimbo ya Ukwaju 🤣🤣Kila njia nafanya lakini nashindwa kukaanga mayai,kila nikijaribu yanavurugika,je nitumie mbinu gani nifanikiwe
🤣🤣🤣Sema kweli mkuu?Kila njia nafanya lakini nashindwa kukaanga mayai,kila nikijaribu yanavurugika,je nitumie mbinu gani nifanikiwe
ni kweli nashindwa,nimejaribu kwa jikonla gesi na hata la umeme nimeshindwa🤣🤣🤣Sema kweli mkuu?
Tumia la Kuni sasa mkuuni kweli nashindwa,nimejaribu kwa jikonla gesi na hata la umeme nimeshindwa
sijaelewa gruza ni niniUsigeuze ķwa kutumia kijiko, gruza kwa kutumia sahani kama wakaanga Chips wanavyofanya
sasa wewe unaleta utani wakati mimi naomba msaadaTumia la Kuni sasa mkuu
Ameshindwa kwenda wapi Kaka mkubwa ?Umeshindwa kwenda hata yuchubu umekuja hapa kuanzisha thread ,? Mpuuzi kabisa !
nahisi alimaanisha utube ngoja niende huko nijifunzeAm
Ameshindwa kwenda wapi Kaka mkubwa ?
Anhaanahisi alimaanusha utube ngoja niende huko nijifunze
frying pan za kawaida tukikaango gani unatumia chungu au?
sasa hayo majibu utakatifu wako uko wapi?Weka mate
mods kumanini zenu
ntajaribu keshoweka mafuta mengi mkuu Acha ubahili