Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

Kweli tupu maneno yako.

Kinachoumiza zaidi hawa 'mabaka" ambao walikuwa wanapendwa na kuaminiwa na wananchi, nao wamejitumbukiza kwenye shimo la UCHAWA.....wamekuwa wa hovyo haswa.
Tz hatuna jesh la wananchi tuna jeshi la ccm, viongozi huwa wanawaita askari wao.
Ref. Majibu ya Magu sakata la kushambuliwa Lisu, Majibu ya Mama na vijana wake migogora ya bandari askari walitumika vibaya sana.
 
Muongo hana kumbukumbu tena alisema wanajeshi walimtaka polisi wakawakatalia.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ushamponza!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Tunasubiri ufanye wewe makosa ujisalimishe
 
Wapi Tanzania kuna Public CCTV ambayo bodabkda kama huyo anaweza access au pita? Wacha kujisifu sana! Hakuna Street Camera za maana TZ ukiachilia maeneo wanayokaa au ofisi za viongozi wakubwa wa kitaifa! Road Traffic CCTV zingesaidia sana kwenye issues kama hizi ila hakuna. Nilikua Kenya and i was very impressed na rate ya CCTV kwenye barabara zao (esp eneo la CBD) na kwenye highways.

Naelewa watu binafsi majumbani mwao wanaweza kuwa na CCTV inayo capture hadi mitaani ila its too difficult for them kujua hadi wafanye review
 
PT hawa hawa walioshindwa kuwakamata washambuliaji wa Lissu?
Hawa hawa ninaowajua mimi?
Intel mbovu za PT, Tiss, na Jw mpaka majasus ya Rwanda yanaingia nchini yanateka na kuondoka na watu 5 wa familia moja?
Siyo kwamba walishindwa! Wao wanajua in and out ya like tukio!
Aliyenyea Kambi Usiku ndiye mfagia Kambi Asubuhi!
 
Ukitaka upotee unapotea na hakuna wa kukukamata. Hata ulaya leo hii watu wanafanya matukio na wanapotea na hawajulikani walipo na wako hai sembuse Tanzania.

Vijana wanafanya makosa, wanatumia simu kuwasiliana na ndugu na jamaa zao na kuwapa location wako wapi wanafanya nini inakua ni rahisi kukufuatilia.

Ukitaka upotee kwanza achana na vifaa vya kielektroniki. Acha kuwasiliana na ndugu na jamaa wasijue uko wapi na unafanya nini. Ndugu zako wasiliana nao kwa facebook tu na sio normal call.

Kaa miezi kadhaa watafte kwa simu ya mtu mwingine wajulishe uko hai na siku hiyo hiyo hama hilo eneo ama mkoa.

Njia ya pili ni kupotelea nchi jirani. Kwa mfano kwa Tanzania kimbilia Kenya ndio rahisi. Potelea huko kabisa.
 
Badili muonekano, fuga ndevu vaa kanzu na kilemba mda wote, usipige wala kupokea simu yoyote, uswe na simu yoyote, usiguse pesa iliyopo kwenye accout yako, jichanganye kwenye machimbo ya madini ishi maisha ya kawaida kwa mda mrefu tu. Hawatakupata milele. Noted Jinai kesi haina ukomo wa mda, so maisha yako yawe hayo kwa zaidi ya miaka 10+
 
LA kwanza Tupa line.
Lapili Tupa simu ili mjinga aiokote... Msala uwe kwake. Ili polisi wahangaike nae wakati mda huo wewe unazidi kupotea..... Maana ndani ya siku 2 au 3 watakuwa hawaamini maelezo yake kama kaokota kweli simu so atakuwa anapata Mateso ambayo hayumuhu. Na Mungu akiwa mkubwa kwako jamaa ILi Mateso yasiendelee anaweza kuamua kutaja tu sehemu iliyoenda ingawa hajui ili aisendelee kuteswa akakane mahakamani.
Ukimaliza hapo kamwe usiitumie simu ya Aina yoyote kuwasiliana na yoyote potelea huko porini katenegneze mikaa miaka 2 tu Hakuna hata atakayekukumbuka.
Kuna jamaa mtaani alimpiga bisibisi mwenze karudi home kulala maana ilikuwa ugomvi WA ulevi. Baada ya lisaa watu wanashtua oyaa jamaa kakata kamba huko.... Mbona usiku huo huo ndugu walichanga mpunga akapotelea Zambia. 5 years alikuwa huko... Huku kila. Mtu kasahau
...... Shida yule jamaa sijui damu ya yule Mtu ilimvuta au Mungu tu. Si karudi mwenyewe after 5 years. Akazurura mtaani kama. 2 weeks hv.... Waliofiwa wakaona dharau hizi ndo wakawatonya polisi... Basi jamaa now yuko kunyavu....
It means ndugu wale wasingesema kitu jamaa ANGEKUWA anakula bata til now.
5 years polisi WA. Hayo maeneo alisimia kubwa wanakuwa wameshahama na file hawana time nalo tena.
Huyu rasta ni vile tu kabeba Roho ya Kamanda LA ingekuwa ya msela mwenzake..... Wala wasingehangaika nae.
 
Miezi yote hiyo mtu yupo nchi na hajaweza kupatikana. Yaan aliwezaje kutoka dar baada ya tukio?

Acha akalipe madhambi yake na uzembe wake.
 
Nakubaliana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…