AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Tz hatuna jesh la wananchi tuna jeshi la ccm, viongozi huwa wanawaita askari wao.Kweli tupu maneno yako.
Kinachoumiza zaidi hawa 'mabaka" ambao walikuwa wanapendwa na kuaminiwa na wananchi, nao wamejitumbukiza kwenye shimo la UCHAWA.....wamekuwa wa hovyo haswa.
Ref. Majibu ya Magu sakata la kushambuliwa Lisu, Majibu ya Mama na vijana wake migogora ya bandari askari walitumika vibaya sana.